Nafuta mume ambaye hatoomba ngono kabla ya ndoa

Ngoja, ukifika miaka 35 bila kuolewa, utajutia hiki ulichokiandika leo
Maybe anadhan age kama yake wote walikuwa hawana wenza labda
Ila walichagua sana mpka leo hii wako single
Me huwa msema kweli hata kama itanikosesha Mwanamke but nitaongea ukweli.

Age yake ni 21 tu bado mdog sana..yaan ana safar nzuri tu ya kumpata mwanaume ambae hata hana kazi na kuyajenga
 
Mbona simpo tu.
Je wewe utakuwa tayari kuwa naye BILA KUOMBA PESA? Mjinga wewe. Unadhani ni boya gani atakubali kukugharamia halafu kitumbua umekikalia ti au unawapa wengine? Hayupo wa hivyo. Labda uumbe wa kwako. Jiongeze vinginevyo utazeekea kwenu!!

Au una ulemavu wa viungo vya siri, unataka kumuuzia mtoto wa watu mbuzi kwenye gunia! Hahahahaha......
 
Atoe tumbua tule
 
Mimi nipo tayari vigezo vyote nnavyo ila kwenye kazi sijaajiriwa, niliajiliwa zamani kwasasa nimejiajili mwenyew

Sent from my SM-A037F using JamiiForums mobile app
 
Sikiliza mdogo wangu unayoyataka Ni sahihi ila wakati au MUDA wa hayo unsyoyahitaji sio SAHIHI

21 yrs Tena upo chuo ,kwanini usivumilie utamatishe masomo Kwanza haya Mambo yapo TU utayakuta na utayachoka

Ukijchanganya ikajileta njemba ukaipokea itajifanya fala kukubali matakwa yako lakini kwa nguvu ya msdawa ya usingizi UTALIWA ksbla ya ndos

KUWA MAKINI!!
 
Nahitaji connect za daw za usingz za kunusa , kuna mtu kanisumbua sanaaa
 
Mimi hapa karibu pm
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…