Nafuu tusiwe na utambulisho kuliko singeli kuwa utambulisho wa muziki wa Tanzania

Nafuu tusiwe na utambulisho kuliko singeli kuwa utambulisho wa muziki wa Tanzania

Hakuna muziki siupendi kama Singeli, huwa naona watu wanaimba kama wamechanganyikiwa au wamevurugwa akili.
 
Singeli inajulikana mikoa mingapi? Hili jambo sidhani ni la viongozi kupanga. Waachie wananchi waamue. Kinachofanya Tanzania iwe na ugumu wa kuwa na mziki au vazi la taifa ni kuwa makabila yapo mengi sana hivyo kuja na kitu common itakuwa ngumu.
Sijawahi kuelewa hayo mambo ya vazi la taifa au muziki wa kitaifa yana faida gani kwa nchi, pia Sijawahi kuona serikali duniani inafanya yapatikane na kuhangaikia kama hivyo kama hapa bongo.
 
Nitajibu muziki wa singeli unapatikana pwani ya Tanzania kwenye makabila ya watu wavivu, wanaowaza ngono tu
😁😁😁 Wewe mwenyewe bila ngono ungekuwa hapo bhana acha mambo yako bhana au Kuna utofauti ya tendo ambalo linafanyika kwenye ndoa na linalofanyika njee ya ndoa
 
Haya mambo yanaanzia mbali hadi kuja kuyaona kwa macho mawili... Hebu tuambie singeli asili yake ni wapi?
singeli asili yake ni uzaramoni huo zamani ulikua mziki wa asili wa kabila la kizaramo,ambao vijana wa kabila la wazaramo waliuchukua wakaugeuza kua mziki wa kiswahili na kuenea pwani yote.
 
singeli asili yake ni uzaramoni huo zamani ulikua mziki wa asili wa kabila la kizaramo,ambao vijana wa kabila la wazaramo waliuchukua wakaugeuza kua mziki wa kiswahili na kuenea pwani yote.
Kwahiyo tukubaliane asili yake ni Tanzania
 
Back
Top Bottom