Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sijawahi kuelewa hayo mambo ya vazi la taifa au muziki wa kitaifa yana faida gani kwa nchi, pia Sijawahi kuona serikali duniani inafanya yapatikane na kuhangaikia kama hivyo kama hapa bongo.Singeli inajulikana mikoa mingapi? Hili jambo sidhani ni la viongozi kupanga. Waachie wananchi waamue. Kinachofanya Tanzania iwe na ugumu wa kuwa na mziki au vazi la taifa ni kuwa makabila yapo mengi sana hivyo kuja na kitu common itakuwa ngumu.
Mbona mwimbaji sauti inakwaruza hivyo kama bati?!Wamwiduka hawa hapa:-
View attachment 3241144
😁😁😁 Wewe mwenyewe bila ngono ungekuwa hapo bhana acha mambo yako bhana au Kuna utofauti ya tendo ambalo linafanyika kwenye ndoa na linalofanyika njee ya ndoaNitajibu muziki wa singeli unapatikana pwani ya Tanzania kwenye makabila ya watu wavivu, wanaowaza ngono tu
singeli asili yake ni uzaramoni huo zamani ulikua mziki wa asili wa kabila la kizaramo,ambao vijana wa kabila la wazaramo waliuchukua wakaugeuza kua mziki wa kiswahili na kuenea pwani yote.Haya mambo yanaanzia mbali hadi kuja kuyaona kwa macho mawili... Hebu tuambie singeli asili yake ni wapi?
Kwahiyo tukubaliane asili yake ni Tanzaniasingeli asili yake ni uzaramoni huo zamani ulikua mziki wa asili wa kabila la kizaramo,ambao vijana wa kabila la wazaramo waliuchukua wakaugeuza kua mziki wa kiswahili na kuenea pwani yote.
ndiyo lakini ulikua mziki wa asili wa kizaramoKwahiyo tukubaliane asili yake ni Tanzania