Sita Sita
JF-Expert Member
- Aug 25, 2008
- 1,397
- 520
Mhhhhhhh labda sababu umebadili ID,ila kwa the 'late' ID usingethubutu kusema hivi.
simulua basi.... umeionaje hiyo video ya Kibah wako
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mhhhhhhh labda sababu umebadili ID,ila kwa the 'late' ID usingethubutu kusema hivi.
Ningekushangaa sana kama ugeiponda hii video,ningekuwa na mashaka na ukaskazini wako maana kule hatunaga mamburula.Ningethubutu... Anyways nimetoka kuangalia hiyo Video ya Kiba, ni nzuri bana na naona iko poa sana.. Wabongo wanapenda majungu tu
Video kali sana,huyu mtoa mada akili yake sio nzuri.simulua basi.... umeionaje hiyo video ya Kibah wako
Shati jeupe na tai?
Leo katika pita zangu mtandaoni nimefanikiwa kuona video ya nagharamikia sijajua ni nani aliofanya iyo video maana ni mbaya ajabu kuanzia location, video queen, na script story ya wimbo na rangi ya video haina mvuto kabisa inamaana wameshidwa kuja na idea au story amabayo itabeba wimbo story ya wimbo ni fake fake kweli nimeamimi kiba you're overratted umemdhalisha bella si mlisema mnafanya marekebusho hii video ndo ivi duh
Cc pwilo Shardcole
Naona upande wa 2 kwa jirani povu limewaanza, washasahau ile kaswida yao hahahaha chezea kingCoke kingkiba wewe
Video nzur na beats za ukweli, upande wa pili mmechanganyikiwa maaana utanipenda imeshapotea maskion haaaaahaaaa hapa ni kugharamia tu
Naona upande wa 2 kwa jirani povu limewaanza, washasahau ile kaswida yao hahahaha chezea kingCoke kingkiba wewe
Mhhhhhhhh!Unajua nini kuhusu fashion wewe?Shati jeupe na tai?
Acha unafiki wewe,sijawahi kuona sehemu yoyote uliyowahi kukiri kuipenda chekecha.Kila mtu na test yke ndo maana mie chekecha niliiona nzuri ila hii imezidiwa hata na ile nyimbo ya mr blue