Nagharamikia video ni aibu kwa tasnia ya mziki

Nagharamikia video ni aibu kwa tasnia ya mziki

Sijaona msanii anayesifiwa video mimi ile ni kazi ya director sasa hawa ndugu zetu wanasifia ujinga kedrick "will u dump me " (je utanimwaga) nani alipewa kazi ya ku translates video ya utanipenda" Kidingi hata form one hawezi fanya vile
 
Last edited by a moderator:
Ule mdundiko haufiki hata airport si utaona mwenyewe tatizo mnatetea ujinga mnampa kichwa video kuimba hajui na kajishtukia maana hajiamini hata nasema nawe pia alifanya hivi hivi baadae ikabuma
mkuu ivi unakijua unachokiandika lakini...au simply unafikiria kabla hujakurupuka kuandika humu?
 
Video nzuri amejitahidi!
Lakini wimbo huu haukupata air time ya kutosha na ni kwasababu ya kukosa promotion na hilo ni tatizo la management...! Kiba ana matatizo ya manageme...Management ni mbovu...!
 
Nyimbo ni kali na videovibayaaaaa acheni unafiki jamani
 
Back
Top Bottom