Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tatizo sio kuisemea mbovu,wapi ulipokiri kuikubali?Ndo maana ukuwahi ona naisemea mbovu chekecha video
Tatizo sio kuisemea mbovu,wapi ulipokiri kuikubali?
Huu ndio unafiki ninaosemaga,mtu unakubali audio/video lakini unachokisema huku ni tofauti.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Mmmmmhh leo umekaa vibaya:sly::sly:😀
Ningekushangaa sana kama ugeiponda hii video,ningekuwa na mashaka na ukaskazini wako maana kule hatunaga mamburula.
Uko smart bro.
Ningekushangaa sana kama ugeiponda hii video,ningekuwa na mashaka na ukaskazini wako maana kule hatunaga mamburula.
Uko smart bro.
Hiyo yenye subtitles sijaiona,hebu niwekee link nikacheke mie.Niliangalia pia na Video ya Dimondii... Aisee zile Subtitles ni vichekesho teh teh teh
Msanii yeyote anasiwa audio sio video kama ingekuwa wanaangalia video ndo ubora wa msanii basi kina wizkid sautisol wasingesikika ndo maana domo kuimba hajui anapumulia video za godfatherNdo tatizo la kuwa overrated ilo
Ukiona msanii wanamsifia video huyo ni garasa kwani si hata ntampata wapi walisifia hivihivi mwisho wa siku ikavundaNaona upande wa 2 kwa jirani povu limewaanza, washasahau ile kaswida yao hahahaha chezea kingCoke kingkiba wewe
Video kali sana,huyu mtoa mada akili yake sio nzuri.
Ule mdundiko haufiki hata airport si utaona mwenyewe tatizo mnatetea ujinga mnampa kichwa video kuimba hajui na kajishtukia maana hajiamini hata nasema nawe pia alifanya hivi hivi baadae ikabumaNagharamikia ndo imepotea #utanipenda haijatolewa kwny media inapoteaje masikioni acha unafiki kesho radio na tv zote duniani zinaizindua #utanipenda