Nagharamikia video ni aibu kwa tasnia ya mziki

Ningethubutu... Anyways nimetoka kuangalia hiyo Video ya Kiba, ni nzuri bana na naona iko poa sana.. Wabongo wanapenda majungu tu
Ningekushangaa sana kama ugeiponda hii video,ningekuwa na mashaka na ukaskazini wako maana kule hatunaga mamburula.
Uko smart bro.
 
Naona upande wa 2 kwa jirani povu limewaanza, washasahau ile kaswida yao hahahaha chezea kingCoke kingkiba wewe
 
Video nzur na beats za ukweli, upande wa pili mmechanganyikiwa maaana utanipenda imeshapotea maskion haaaaahaaaa hapa ni kugharamia tu
 
Hi haters😀
 
Last edited by a moderator:
Video nzur na beats za ukweli, upande wa pili mmechanganyikiwa maaana utanipenda imeshapotea maskion haaaaahaaaa hapa ni kugharamia tu

Nagharamikia ndo imepotea #utanipenda haijatolewa kwny media inapoteaje masikioni acha unafiki kesho radio na tv zote duniani zinaizindua #utanipenda
 
Video kali sana,huyu mtoa mada akili yake sio nzuri.

Kila mtu na test yke ndo maana mie chekecha niliiona nzuri ila hii imezidiwa hata na ile nyimbo ya mr blue
 
Kiba ninamuonea huruma sana. Kuna watu katika menejimenti yake wanamhujumu. Hii video haina hadhi kabisa.
 
Kila mtu na test yke ndo maana mie chekecha niliiona nzuri ila hii imezidiwa hata na ile nyimbo ya mr blue
Acha unafiki wewe,sijawahi kuona sehemu yoyote uliyowahi kukiri kuipenda chekecha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…