mkuu ivi unakijua unachokiandika lakini...au simply unafikiria kabla hujakurupuka kuandika humu?Ule mdundiko haufiki hata airport si utaona mwenyewe tatizo mnatetea ujinga mnampa kichwa video kuimba hajui na kajishtukia maana hajiamini hata nasema nawe pia alifanya hivi hivi baadae ikabuma
Utalinganisha vipi video 2 tofauti kuanzia maudhui hadi madirectors?Linganisha na utanipenda ya mond ipi Kali?