Nagonga mlango wakuu...

Nagonga mlango wakuu...

Clark boots

JF-Expert Member
Joined
Jun 5, 2017
Posts
6,770
Reaction score
6,202
Habari za mda huu wakuu... mimi ni MEMBER MPYA, hivyo nachukuwa fursa hii kupiga hodi humu ndani..
Siku nyingi nilikuwa mtu wa kuperuzi tu thread za watu mbalimbali, So nashukuru leo hii kuwa JF mtandao wa wajanja.
Naomba mnikaribishe Tafadhari
 
Hiyo heading yako imenishtua[emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35]
 
Karibu mkuu ila umbea na ulafi viache kwako, HAPA NJOO UTETE ONDOKA UTETWE
 
Habari za mda huu wakuu... mimi ni MEMBER MPYA, hivyo nachukuwa fursa hii kupiga hodi humu ndani..
Siku nyingi nilikuwa mtu wa kuperuzi tu thread za watu mbalimbali, So nashukuru leo hii kuwa JF mtandao wa wajanja.
Naomba mnikaribishe Tafadhari
Ur welcam ndugu yako niko hapa[emoji111]
 
Back
Top Bottom