Professor of jungle
JF-Expert Member
- May 24, 2012
- 480
- 944
Maisha popote kikubwa usiishi kama mtumwaKwa wataalamu wanaopajua Mbeya vizuri tupeana ripoti kuhusu makazi.
Nahitaji nipate room yenye gharama ya chini ya elfu 30 na nikalipa mwezi na kujipanga.
Nachokisikia Mbeya maisha ni marahisi nahitaji kwenda kujaribu huko.
Dar wengi wanaishi kitumwaMaisha popote kikubwa usiishi kama mtumwa
Sure mkuu nimekaa dar mwaka mzima ila nimeunga maisha hadi nimejiogopa, shuguli zenyewe za kipato hata laki 2 haifiki.Mimi nimekaa sana Dsm nikahamia mkoani 2014 kiukweli sijuti kabisa!!!
Yan inatakuwa kampen kabambe ya kushawishi watu warudi mikoani kuna kuna sehemu zinafursa sana !! Kikukweli dar kuna upotezaji muda mkubwa sana ika watu hawajui
Nilihama nyumbani kuja kutafuta changamoto mjini pamenigonga sina budi kucheki upepo mpya.Ulikaa mkoa ukaja Dar then unarudi tena Mkoa...
Nahtaji kwenda kujaribu ila mjini hapana tena had kodi inanishinda better to leave.Maisha rahisi kivipi?
Mkoa uliozaliwa ni upi?Nahtaji kwenda kujaribu ila mjini hapana tena had kodi inanishinda better to leave.
Yaap unafanya kazi kwa mhindi mshahara laki 3 unaishi Goms (g/mboto) bunju, Mbagala au Mbezi unaamka saa 11 asbh kuwahi town kibaruani unatoka kibaruani saa 11 jioni unafika nyumbani choka mbaya njaa uchovu ukiangalia kwa siku umetumia nauli chakula maji jumla kama buku 7 unajikuta umekua mtumwa kazi haikulipiDar wengi wanaishi kitumwa
Singida chief.Mkoa uliozaliwa ni upi?
Ukweli mchungu.Yaap unafanya kazi kwa mhindi mshahara laki 3 unaishi Goms (g/mboto) bunju, Mbagala au Mbezi unaamka saa 11 asbh kuwahi town kibaruani unatoka kibaruani saa 11 jioni unafika nyumbani choka mbaya njaa uchovu ukiangalia kwa siku umetumia nauli chakula maji jumla kama buku 7 unajikuta umekua mtumwa kazi haikulipi
Mbona fursa zipo huko pia au alizeti hailipi siku hiziSingida chief.
Kuna watu munatumia kazi kama hiyo kuishi....mwenye focus kazi kama hiyo ni Fundrising Machine.Yaap unafanya kazi kwa mhindi mshahneara laki 3 unaishi Goms (g/mboto) bunju, Mbagala au Mbezi unaamka saa 11 asbh kuwahi town kibaruani unatoka kibaruani saa 11 jioni unafika nyumbani choka mbaya njaa uchovu ukiangalia kwa siku umetumia nauli chakula maji jumla kama buku 7 unajikuta umekua mtumwa kazi haikulipi
Hebu funguka mkuu...fursa zipi hizo za kutoboa fastaaMimi nimekaa sana Dsm nikahamia mkoani 2014 kiukweli sijuti kabisa!!!
Yan inatakuwa kampen kabambe ya kushawishi watu warudi mikoani kuna kuna sehemu zinafursa sana !! Kikukweli dar kuna upotezaji muda mkubwa sana ika watu hawajui
Si mnaonaga raha kusema "nipo naishi DSM".Mimi nimekaa sana Dsm nikahamia mkoani 2014 kiukweli sijuti kabisa!!!
Yan inatakuwa kampen kabambe ya kushawishi watu warudi mikoani kuna kuna sehemu zinafursa sana !! Kikukweli dar kuna upotezaji muda mkubwa sana ika watu hawajui