Professor of jungle
JF-Expert Member
- May 24, 2012
- 480
- 944
- Thread starter
- #21
Nilijaribu kukimbia comfort zone.Mbona fursa zipo huko pia au alizeti hailipi siku hizi
Nilijaribu kukimbia comfort zone.Mbona fursa zipo huko pia au alizeti hailipi siku hizi
🙏🙏Karibu mbeya mr.
Nenda kwenye madini geita mkuu huwezi jutaNilihama nyumbani kuja kutafuta changamoto mjini pamenigonga sina budi kucheki upepo mpya.
Hii ndo akili sasaNahtaji kwenda kujaribu ila mjini hapana tena had kodi inanishinda better to leave.
Kuna jamaa alikuwa anafanyia taasis fulani ya private aliamua kupiga chini kazi akaenda zake Mikoani.Yaap unafanya kazi kwa mhindi mshahara laki 3 unaishi Goms (g/mboto) bunju, Mbagala au Mbezi unaamka saa 11 asbh kuwahi town kibaruani unatoka kibaruani saa 11 jioni unafika nyumbani choka mbaya njaa uchovu ukiangalia kwa siku umetumia nauli chakula maji jumla kama buku 7 unajikuta umekua mtumwa kazi haikulipi
Kwanini lakini jamani...kwani kasema anafata K huko?Mbeya ni safi sana ila hawajui kukata mauno, shanga wanaona uchafu.
Mkuu funguka umenigusaKuna watu munatumia kazi kama hiyo kuishi....mwenye focus kazi kama hiyo ni Fundrising Machine.
[emoji16][emoji16][emoji16]Si mnaonaga raha kusema "nipo naishi DSM".
Wenzako wanazungumzia Ishu za Kiuchumi wewe unawaza mbususu,dah!!, Kweli dunia tambala bovu.Mbeya ni safi sana ila hawajui kukata mauno, shanga wanaona uchafu.
Geita pako makini.
Una mtaji?Geita pako makini.
Ngoja nikajaribu mbeya kwanza sina cha kupoteza.
Mwanaume wa kiafrika anawaza K 24/7Wenzako wanazungumzia Ishu za Kiuchumi wewe unawaza mbususu,dah!!, Kweli dunia tambala bovu.
Mtaji utoke wapi? Unga unga mwana.
Haina kweere uzuri moyo umeamua so ni wewe tu kujiachiaMtaji utoke wapi? Unga unga mwana.
Yah sijui mtaji sijui support sijui connection kuna nyakati hazitokei wala hazionekani.Haina kweere uzuri moyo umeamua so ni wewe tu kujiachia
Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
Komaa mkuu...ujana wetu ndo huu, ukipita ni mwendo wa uzeeni na kuomba omba kwa watoto wetu[emoji848]Yah sijui mtaji sijui support sijui connection kuna nyakati hazitokei wala hazionekani.
Imenibidi kutafuta namna kwenye dhoruba.
Unafaa kuwa motivational speaker mkuu. Kuhusu dhahabu aende Chunya au Mahenge/Ulanga. Je, kianzio anacho?
Sasa mkuu motivational speaker imeingiaje hapa hebu nijib?Unafaa kuwa motivational speaker mkuu. Kuhusu dhahabu aende Chunya au Mahenge/Ulanga. Je, kianzio anacho?
Kunaumiza sana kuwa omba omba.Komaa mkuu...ujana wetu ndo huu, ukipita ni mwendo wa uzeeni na kuomba omba kwa watoto wetu[emoji848]
Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app