witnessj
JF-Expert Member
- Mar 22, 2015
- 28,830
- 47,772
Sure sureKunaumiza sana kuwa omba omba.
I got that and its tough situation.
Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
Sure sureKunaumiza sana kuwa omba omba.
I got that and its tough situation.
🙏🙏Opportunity Cost Bujibuji Mkatibisheni kijana mpambanaji.
Chamuhimu ukifika ishi vizuri na watu. Maisha sio rahisi sana kama unavyohisi, muhimu pambana tu.
usisahau nguo za kukukinga na baridi.
........Kwa wataalamu wanaopajua Mbeya vizuri tupeana ripoti kuhusu makazi.
Nahitaji nipate room yenye gharama ya chini ya elfu 30 na nikalipa mwezi na kujipanga.
Nachokisikia Mbeya maisha ni marahisi nahitaji kwenda kujaribu huko.
Maneno mazuri ya kutia moyo.Sasa mkuu motivational speaker imeingiaje hapa hebu nijib?
Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
Kubali kuwa mbuzi wa kafaraKwa wataalamu wanaopajua Mbeya vizuri tupeana ripoti kuhusu makazi.
Nahitaji nipate room yenye gharama ya chini ya elfu 30 na nikalipa mwezi na kujipanga.
Nachokisikia Mbeya maisha ni marahisi nahitaji kwenda kujaribu huko.
Kwani kasema anakuja kutafuta wa kukata maunoMbeya ni safi sana ila hawajui kukata mauno, shanga wanaona uchafu.
Kwa wataalamu wanaopajua Mbeya vizuri tupeana ripoti kuhusu makazi.
Nahitaji nipate room yenye gharama ya chini ya elfu 30 na nikalipa mwezi na kujipanga.
Nachokisikia Mbeya maisha ni marahisi nahitaji kwenda kujaribu huko.
Mawazo yako.Kubali kuwa mbuzi wa kafara
Baridi mwaka huu itaenda Hadi 2°C ajiandaeOpportunity Cost Bujibuji Mkatibisheni kijana mpambanaji.
Chamuhimu ukifika ishi vizuri na watu. Maisha sio rahisi sana kama unavyohisi, muhimu pambana tu.
usisahau nguo za kukukinga na baridi.
Mm fundi wa madish pia boda boda nakimbiza.Ukienda Mbeya kakae Isanga, Simike, Airport ya zamani, Nonde au Sokomatola huko utapata nyumba za bei rahisi.
Ila mimi kama kaka yako nakushauri ukakae border kama Tunduma au Kasumulu. Pia Chunya pamechangamka napo waweza kwenda.
Swali una ujuzi gani? Kinyozi, udereva wa bajaji au bodaboda, ufundi wa kujenga au magari, welding je? Hizi fani ndogondogo huwa zinaokoa sana.