Kitambo mkuu nipo mbeya life linasogea.Bob njoo Morogoro maisha mepesi mpaka maajabu njoo moro mzee
Kwa wataalamu wanaopajua Mbeya vizuri tupeana ripoti kuhusu makazi.
Nahitaji nipate room yenye gharama ya chini ya elfu 30 na nikalipa mwezi na kujipanga.
Nachokisikia Mbeya maisha ni marahisi nahitaji kwenda kujaribu huko.
Nilikosa mbinu mjini ikanibidi nibadilishe upepo ila now unaniendea poa.Watu. Wanatoka mikoani wanaenda dar we umefanya vice versa
Kwa wataalamu wanaopajua Mbeya vizuri tupeana ripoti kuhusu makazi.
Nahitaji nipate room yenye gharama ya chini ya elfu 30 na nikalipa mwezi na kujipanga.
Nachokisikia Mbeya maisha ni marahisi nahitaji kwenda kujaribu huko. Mbeya ajira nitatizo Ila chakura Bei chini Sana karibu tunduma songwe mkuu chakura Bei jui Ila pesa yupo mkuu
Kulima mpunga sioKm kuhamia mbeya nitaenda kuishi kule kwa kina mandosya au ubaruku tu na si kwingine
Kulima mpunga sio
Kwa Alina mwa ndoaya maisha rahisi Sana Ila pesa Ni tatizo mkuu lakini ukiwa na mtaji saafiKm kuhamia mbeya nitaenda kuishi kule kwa kina mandosya au ubaruku tu na si kwingine