Huruma siyo malezi
JF-Expert Member
- Jul 18, 2020
- 2,168
- 4,773
Ndio hilo ni kwel lakini huwa inategemeana na nafasi uliyonayo katika majukum ya Kila sikuShida ya Dar ukishaingia kutoka ni ngoma
Ndio hilo ni kwel lakini huwa inategemeana na nafasi uliyonayo katika majukum ya Kila sikuShida ya Dar ukishaingia kutoka ni ngoma
Hii sio kweli mia saba ule siku nzima.Karibu Mbeya mkuu, huku vitu(vyakula) bei chee sikukwita Mia Saba unakula siku nzima.
Binafsi kwa siku natumia 2000/=(chakula).
Ndugu sipotoshi huwezi kuamini lakini ndio hivyo sijui nikuambieje kama kuna mtu amewahi kulala pale atatoa huu ushuhuda nidanganye ili iweje sio kwetu mi natokea kyela na ni mwaka huu mwezi wa tatu!Unapata faida gani kupotosha watu?
Boss upo Itende sehemu gani? Mana ninampango wa kufanya maisha yangu ys kudumu yawe huko. Kwasasa nipo Arusha ila home ni Mbeya.Njoo Itende Mkuu kwanza ni karibu na town halafu ni rahisi kwenda iyunga sokoni kula chips za mia 3.
Miaka ya 90 mwishoni hadi mwanzo wa 2000 bei zilikuwa hizo chipsi Sahani 100 na nusu ilikuwa 50 ikapanda hadi 150 kwa plate na baada ya hapo 200 ikaja 300.... 500 na kwa sasa tupo 1000 kwa plate....[emoji23] [emoji23] [emoji23]. Mkuu sehemu gani ioo na mwaka gani
[emoji23] [emoji23] [emoji23]. Mkuu sehemu gani ioo na mwaka gani
Daaah itende nimesoma hapo miaka michache iliyopita,nilipanga karibu na hayo mabwawa ya maji taka,mvua ikinyesha hiyo harufu hukai [emoji38][emoji38][emoji38], maeneo ya juakali,kalobe ilikua sehemu zangu hizoNilikuwa nimepanga Itende,Jioni naenda maeneo ya Iyunga Uwanjani kupasha then magengeni kula msosi ,nilikuwa nafundisha MTC miaka ya 2000.
Tupe mrejesho kwa kina ongeza nyama zaidiNimetimiza hitaji langu la kufika mbeya na kusaka unafuu wa maisha.
Maisha yapoje huko mkuu na upo sehemu gani?Nimetimiza hitaji langu la kufika mbeya na kusaka unafuu wa maisha.
Jiandae na Majungu na Unafiki wa Wanyakyusa. Ukifika Mbeya Ishi kwa akili usizubaishwe na vicheko vya watu usoni.Kwa wataalamu wanaopajua Mbeya vizuri tupeana ripoti kuhusu makazi.
Nahitaji nipate room yenye gharama ya chini ya elfu 30 na nikalipa mwezi na kujipanga.
Nachokisikia Mbeya maisha ni marahisi nahitaji kwenda kujaribu huko.
Wanaishi kama marafiki ila moyoni maadui sio.Jiandae na Majungu na Unafiki wa Wanyakyusa. Ukifika Mbeya Ishi kwa akili usizubaishwe na vicheko vya watu usoni.
Bado sijapata makaz maalum mkuu nasaka room ya kujiegesha.Maisha yapoje huko mkuu na upo sehemu gani?
Maisha marahisi hata pasipo kazi? Ila karibu sana kwetu hukoKwa wataalamu wanaopajua Mbeya vizuri tupeana ripoti kuhusu makazi.
Nahitaji nipate room yenye gharama ya chini ya elfu 30 na nikalipa mwezi na kujipanga.
Nachokisikia Mbeya maisha ni marahisi nahitaji kwenda kujaribu huko.
Hawana shida ni watu poa sana labda uwaletee mizinguo mwenyewe hapo hakuna rangi utaacha kuonaWanaishi kama marafiki ila moyoni maadui sio.
Yes ..wanafiki sanaaWanaishi kama marafiki ila moyoni maadui sio.
Duh tutaishi nao.Yes ..wanafiki sanaa
Nishakaribia ndugu yangu.Karibu Mbeya mkuu.
Huku huwezi kufa njaa .