Orketeemi
JF-Expert Member
- Feb 12, 2013
- 5,591
- 14,369
Unapata faida gani kupotosha watu?Mwezi wa tatu nilienda mkoa mpya Songwe nikafikia guest house moja inaitwa MKULIMA karibu na ILASI petrol station nilishangaa gharama ya kulala ni sh 10000 kwenye chumba chenye choo na bafu,maji ya moto,TV,nguo zisizidi 3 unafuliwa,viatu unabrashiwa na sahani ya wali na maharage ktk elfu 10 hiyohiyo na iko vizuri kuliko hata baadhi ya guest za dar za 30K!
Sent from my BBF100-6 using JamiiForums mobile app