King Kong III
Platinum Member
- Oct 15, 2010
- 64,227
- 98,761
Mpuuzi huyo achana nae.Mbeya saizi kuna hadi UDSM-MUCHAS yaani University of Dar es Salaam -Mbeya University College of Health and Allied Sciences.
On top of that Taasisi ya Saratani ya Ocean Road inajenga Centre ya Saratani pale rufaa,kiufupi kwa ma vyuo ni mengi hadi sio vizuri sasa hizo bei zitatoka wapi?
Kuna wapuuzi wanaoamini Mbeya ya zamani ndio ya sasa ilhali Jiji limebadilika majengo ya ghorofa yanaota kila uchao.
Barabara ndio changamoto but nazo kabla ya 2025 zitafumuliwa na kujengwa njia 4 kutoka Inyala hadi Tunduma,Uyole-Songwe bypass na Iwambi-Mbalizi bypass ndio miradi mikubwa itatekelezwa kwa Mbeya.
Lugha za kuudhi zimetoka wapi mkuu? Mimi nimekaa mbeya na nimekula wali wa 200 na chips za 100 ,kitimoto kwa 500 naelezea experience yangu unasema mimi ni mpuuzi?