Fadhilim
JF-Expert Member
- Feb 3, 2013
- 363
- 304
Ndo maana kuna msichana mmoja aliniambia ukimtaka wa kukata mauno mtafute tu. Kumbe fire waist ni sifuri.Mbeya ni safi sana ila hawajui kukata mauno, shanga wanaona uchafu.
Ndo maana kuna msichana mmoja aliniambia ukimtaka wa kukata mauno mtafute tu. Kumbe fire waist ni sifuri.Mbeya ni safi sana ila hawajui kukata mauno, shanga wanaona uchafu.
Ila mbeya mzunguko wa hela ni mdogo sanaPakiwa pagumu natafuta pori lingine, maisha yashanivuruga mzee sielewi hata nishike lipi.
Nikweli SHANGA ni UCHAFU HASWA.Mbeya ni safi sana ila hawajui kukata mauno, shanga wanaona uchafu.
Angalizo, ukiona sehemu kuna chips mpaka za shilingi 300, basi jua hlo eneo hela ni ngumu mno kupatkana ndo maana hata 300 wanaithaminiNjoo Itende Mkuu kwanza ni karibu na town halafu ni rahisi kwenda iyunga sokoni kula chips za mia 3.
Unafanya mishe gani huko uliko?Mimi nimekaa sana Dsm nikahamia mkoani 2014 kiukweli sijuti kabisa!!!
Yan inatakuwa kampen kabambe ya kushawishi watu warudi mikoani kuna kuna sehemu zinafursa sana !! Kikukweli dar kuna upotezaji muda mkubwa sana ika watu hawajui
Ndo mana kuna mtu hapo[emoji115][emoji115] kasema kuna mpaka chips za 300Ila mbeya mzunguko wa hela ni mdogo sana
Nimeishi mbeya mjini, ule mji upatikanaji wa pesa ni mgumu sanaAngalizo, ukiona sehemu kuna chips mpaka za shilingi 300, basi jua hlo eneo hela ni ngumu mno kupatkana ndo maana hata 300 wanaithamini
Mi nilichogundua sehemu yoyote ambayo vyakula vinapatikana kwa bei nafuu basi iyo sehemu mzunguko wa hela ni mdogo sanaNdo mana kuna mtu hapo[emoji115][emoji115] kasema kuna mpaka chips za 300
huyo jamaa anatishia amani sana, sisi wenye degree zaidi ya moja pressure inakuwa kubwa sana aiseeNimecheka kama mazuri, na degree yako unapigwa najua kaa standard 7 ,ila kikubwa nikukomaa Bora kusurvive ndugu mambo yamebadilika sana degree sio ishu tena
Wengi wapo kwenye hiki kikaango ila wanaugulia maumivu kimyakimyaUkweli mchungu.
Wapo ila hata mahitaji ya wanashindwa kutatua pesa haitoshiKuna watu munatumia kazi kama hiyo kuishi....mwenye focus kazi kama hiyo ni Fundrising Machine.
Tena kama hizo ishu za madini utapiga mpaka utazeekea hukoMkoani ni kwenda kuwekeza huko kwenye mashamba makubwa, kilimo cha miti uchimbaji wa madini, lakini kama ndio huna mtaji ni bora ukabaki dar ndugu, kuna possibility kubwa ya kupata kitu lakini ndio unaenda kuanza life utapigika hadi utakoma hakuna hela.
Natafuta tobo la kutoboa sio kuishi mkuu.Mbeya, Tukuyu in particular, kama sio mlevi, sharati, kipato Cha shs 100,000/= kwa mwezi kinatosha sana
Kabisa mkuuDar wengi wanaishi kitumwa
Natafuta tobo la kutoboa sio kuishi mkuu.
nilisikiaga mbeya viaz ving ni kweli lkn kwa sh 300.? kwan hawajui chpps kama zinapendwa.? mbona hapo kabwe nimeuziw tu kawaid kav buku ba yai 2000.sema zinakua nyingNjoo Itende Mkuu kwanza ni karibu na town halafu ni rahisi kwenda iyunga sokoni kula chips za mia 3.
nilisikiaga mbeya viaz ving ni kweli lkn kwa sh 300.? kwan hawajui chpps kama zinapendwa.? mbona hapo kabwe nimeuziw tu kawaid kav buku ba yai 2000.sema zinakua nying
mwkaa gan mamb ya 200? juz juz tu nimekula hapo vwawa wali nyama maharag na nikaona napewa na parachcih 2000.Walikupiga Mkuu , na hapo zimepanda bei zilikuwa chips tsh 100 na wali maharage 200.