Nahamia Mbeya maisha ya Dar yamenipiga vya kutosha

Nahamia Mbeya maisha ya Dar yamenipiga vya kutosha

3

3m inaweza tosha?
Inaweza ikawa nyingi au chache kutegemea aina ya biashara unayoenda kuifanya hapo mgodini.
Ila kama ni broker tu inatosha sana. Kuna nyuzi nyingi sana zimetoa shuhuda humu ndani.
 
Opportunity Cost Bujibuji Mkatibisheni kijana mpambanaji.
Chamuhimu ukifika ishi vizuri na watu. Maisha sio rahisi sana kama unavyohisi, muhimu pambana tu.
usisahau nguo za kukukinga na baridi.
Tunamkaribisha Sana,kwa kuwa anaanza akawahi siti Uyole pale, fursa za kuanzia zipo ajichanganye Mjini akijikusanya aingie kwenye kilimo na Mazao ya kilimo.

Kuishi ataishi vizuri maana akiwa na buku 7 atapata kg 20 za unga/mahindi
 
Tunamkaribisha Sana,kwa kuwa anaanza akawahi siti Uyole pale, fursa za kuanzia zipo ajichanganye Mjini akijikusanya aingie kwenye kilimo na Mazao ya kilimo.

Kuishi ataishi vizuri maana akiwa na buku 7 atapata kg 20 za unga/mahindi
Kwa mtu anayetaka kufanya biashara ya Kuuza mazao, ungemshauri mazao gani aanze nayo?
 
Dar ni parahisi inategemea unaishi wapi mkuu, kama wewe ni mwajiriwa inategemea na matumizi yako na kiasi unacholipwa, kama wewe ni mfanyabiashara pia hutegemea na unavyozungusha.

mi kigamboni nimepaelewa sana kwa dar.... Kariakoo napo fanya chochote. Mbezi sijawahi fikaga nikapajua sana ila napasikia sikia ooh kumekucha....... Mbagala napo sasa sikupaelewa kutokana na ile changanyikeni ya pale afu wizi na ukabaji upo kule mbagala........kuelekea gongo la mboto huko ndio dar na wadaslaam wazawa wamejazana....... kigamboni napapenda sababu nimehisi panakaliwa na wasomi wengi na watu ni waelewa kiasi. Kinondoni wauza sura wengi.
Kama hujafika mbezi dar huijui kaa kimya tu
 
Mkoani ni kwenda kuwekeza huko kwenye mashamba makubwa, kilimo cha miti uchimbaji wa madini, lakini kama ndio huna mtaji ni bora ukabaki dar ndugu, kuna possibility kubwa ya kupata kitu lakini ndio unaenda kuanza life utapigika hadi utakoma hakuna hela.
Mbona unataka unirudishe nyuma tena mjuba.
 
Back
Top Bottom