Nahamia Mbeya maisha ya Dar yamenipiga vya kutosha

Nahamia Mbeya maisha ya Dar yamenipiga vya kutosha

Ukweli mchungu sijawah fikir kama naweza uza mishikaki ama kuchoma mahindi i took that job as beneath me mkuu.
Nina bachelor of commerce mkuu.
Yes.wale madogo unaona wanauza mishkak kkoo 500...wanakua na vitorol wanauza na ndiz..faida yake kwa siku ni 20k-50k..achana na mahind ya msimu...angalia vitu necessary...usione aibu wale madogo kukufundisha...na sio lazima mishkak...huo ni mfano tu...tembea kijana huko nilikokwambia angalia wenzio wanafanya nin.nawew iga
 
Ukifika Mbeya karibu Mbalizi mkuu utafurahia,utaanza kula kwanza urudishe mwili kwa ajili ya mapambano!

Ogopa kupanga chumba maeneo Kama Forest,Iwambi,Tazara,Isyesye,na kwingneko wanakojiona wa kishua kwa maana utayakosa masoko mjinga!
Ishi mitaa hii ndani ya Mbeya utafurahia huduma zote kwa Bei rahisi-Isanga,old Airport,Simike,Nzovwe,Iyunga-ikuti,Kalobe,
Ilemi-baadhi ya maeneo maji yanasumbua.karibu Mbeya mkuu hutajuta.
 
Kwa wataalamu wanaopajua Mbeya vizuri tupeana ripoti kuhusu makazi.

Nahitaji nipate room yenye gharama ya chini ya elfu 30 na nikalipa mwezi na kujipanga.

Nachokisikia Mbeya maisha ni marahisi nahitaji kwenda kujaribu huko.
Karibu karibu sana mbeya...mm nipo mbeya tangu 2015 kikazi..ni mkoa ambao kama ni mfanyakazi ni rahis sana ku save na kufanya maendeleo kama una nidhamu ya pesa

Ni mkoa ambao hata ukiwa na 1000 una uhakika wa kula siku nzima kibishi

Kila aina ya vyakula ipo

Mboga za aina karibia zote zipo

Kwa bajeti yako ya 30000 chumba unapata vizuri tu maeneo ya uswahilini na kwa mbeya yapo mengiiiiii ni ww tu na utashi wako..kama uko serious ni Pm nikupe ABC zote utakazozitaka

Sent from my SM-A315F using JamiiForums mobile app
 
Dar ni parahisi inategemea unaishi wapi mkuu, kama wewe ni mwajiriwa inategemea na matumizi yako na kiasi unacholipwa, kama wewe ni mfanyabiashara pia hutegemea na unavyozungusha.

mi kigamboni nimepaelewa sana kwa dar.... Kariakoo napo fanya chochote. Mbezi sijawahi fikaga nikapajua sana ila napasikia sikia ooh kumekucha....... Mbagala napo sasa sikupaelewa kutokana na ile changanyikeni ya pale afu wizi na ukabaji upo kule mbagala........kuelekea gongo la mboto huko ndio dar na wadaslaam wazawa wamejazana....... kigamboni napapenda sababu nimehisi panakaliwa na wasomi wengi na watu ni waelewa kiasi. Kinondoni wauza sura wengi.
 
Karibu karibu sana mbeya...mm nipo mbeya tangu 2015 kikazi..ni mkoa ambao kama ni mfanyakazi ni rahis sana ku save na kufanya maendeleo kama una nidhamu ya pesa

Ni mkoa ambao hata ukiwa na 1000 una uhakika wa kula siku nzima kibishi

Kila aina ya vyakula ipo

Mboga za aina karibia zote zipo

Kwa bajeti yako ya 30000 chumba unapata vizuri tu maeneo ya uswahilini na kwa mbeya yapo mengiiiiii ni ww tu na utashi wako..kama uko serious ni Pm nikupe ABC zote utakazozitaka

Sent from my SM-A315F using JamiiForums mobile app
Nakupm mkuu
 
Back
Top Bottom