Chris wood
JF-Expert Member
- Dec 21, 2020
- 1,666
- 5,059
Now poverty ikitafuta adress yangu nikugusa tu inanipata. Ila Sir God akibless kila kitu kitaenda sawa.Jitoe kwenye umaskini dogo...tools zote unazo
Now poverty ikitafuta adress yangu nikugusa tu inanipata. Ila Sir God akibless kila kitu kitaenda sawa.Jitoe kwenye umaskini dogo...tools zote unazo
Nimecheka kama mazuri, na degree yako unapigwa najua kaa standard 7 ,ila kikubwa nikukomaa Bora kusurvive ndugu mambo yamebadilika sana degree sio ishu tenaWeka degree yako pembeni afu tafta pesa. Mm Nina degree yangu kutoka chuo kikubwa kabisa hapa nchini lakn nachoma mahndi. Things aren't easy niggah. Kuna kipindi kodi ilinishnda nikawa nalala stand weeeh dont give up
[emoji16][emoji16][emoji16]Ajabu kwa mshahara wa laki tatu hiyohiyo unakuta mwenzako anafanya maisha na kulewa kila siku. Mjini mipango.
Kwa wataalamu wanaopajua Mbeya vizuri tupeana ripoti kuhusu makazi.
Nahitaji nipate room yenye gharama ya chini ya elfu 30 na nikalipa mwezi na kujipanga.
Nachokisikia Mbeya maisha ni marahisi nahitaji kwenda kujaribu huko.
Nilikuwa na ziara mikoa ya Rukwa, Katavi, Kigoma, Mbeya, na Mwanza last month aisee nilivyokuwa natoka Sumbawanga kwenda Mbeya niliona maajabu mahindi yalivyolimwa pembezoni mwa barabara nikahisi Mbeya ni sehemu sahihi ya kuishi.Kwa wataalamu wanaopajua Mbeya vizuri tupeana ripoti kuhusu makazi.
Nahitaji nipate room yenye gharama ya chini ya elfu 30 na nikalipa mwezi na kujipanga.
Nachokisikia Mbeya maisha ni marahisi nahitaji kwenda kujaribu huko.
Nani kasema mbezi hajafika kuanzia mbezi kimara, mwisho,mbezi goba, msakuzi, luisi, maramba mawili, mivumoni, kote huko nimefika my point ni kuwa sijabase mbezi kibiashara kama kwingine kwa dar.Kama hujafika mbezi dar huijui kaa kimya tu
Asante sana nitakujurisha, last time nilipokuja nilibeba maparachichi ya kisasa yaligombaniwa balaa ningekujua ningebeba na makatapela[emoji848]Karibu sana mkuu! Tutajulishana tu karibu uje ule makatapela[emoji3]
Makatapela ndiyo hayo maparachichi mkuu😀😀 karibu sanaAsante sana nitakujurisha, last time nilipokuja nilibeba maparachichi ya kisasa yaligombaniwa balaa ningekujua ningebeba na makatapela[emoji848]
Duh! Nilijicjanganya kumbe makatapela ndo parachichi me nilijua makatapela ni mapera (guavas) unayajua mafiulis?Makatapela ndiyo hayo maparachichi mkuu[emoji3][emoji3] karibu sana
Ooh mafiulis nayajua na mapera pia, ila mafiulis siyapendagi sana, vipi tukuwekee yakutosha hayo?Duh! Nilijicjanganya kumbe makatapela ndo parachichi me nilijua makatapela ni mapera (guavas) unayajua mafiulis?
Hata me mafiulis siyapendi ila niliyazungumzia kwa vile huku Dar sijawai kuyaona. Maparachichi ya kisasa na kienyeji ndo ya muhimu tutaongea vizuri kadri siku zitakvuokuwa zinakaribia.Ooh mafiulis nayajua na mapera pia, ila mafiulis siyapendagi sana, vipi tukuwekee yakutosha hayo?
Mkuu mbona hujataja mbalizi uliyo anza kumkaribishaUkifika Mbeya karibu Mbalizi mkuu utafurahia,utaanza kula kwanza urudishe mwili kwa ajili ya mapambano!
Ogopa kupanga chumba maeneo Kama Forest,Iwambi,Tazara,Isyesye,na kwingneko wanakojiona wa kishua kwa maana utayakosa masoko mjinga!
Ishi mitaa hii ndani ya Mbeya utafurahia huduma zote kwa Bei rahisi-Isanga,old Airport,Simike,Nzovwe,Iyunga-ikuti,Kalobe,
Ilemi-baadhi ya maeneo maji yanasumbua.karibu Mbeya mkuu hutajuta.
Mkuu mbona hujataja mbalizi uliyo anza kumkaribisha
Mbalizi ndo home mkuu,masuala ya vyakula utafurahia Sana,nafikiri kwa Mbeya nzima Mbalizi ndio Ina unafuu wa chakula lakn changamoto yake Maji hutoka saa nane usiku Kama Uyole tu😁😁😁
Itende isonta.Njoo Itende Mkuu kwanza ni karibu na town halafu ni rahisi kwenda iyunga sokoni kula chips za mia 3.
Pakiwa pagumu natafuta pori lingine, maisha yashanivuruga mzee sielewi hata nishike lipi.Kwa hiyo unaenda bila mtaji huoni kama unaenda kuwa mzigo?unaenda kuongeza idadi ya watu na kutupa mrejesho tena kuwa Mbeya pagumu!
Sent from my BBF100-6 using JamiiForums mobile app