Nahamia Mbeya maisha ya Dar yamenipiga vya kutosha

Nahamia Mbeya maisha ya Dar yamenipiga vya kutosha

nilisikiaga mbeya viaz ving ni kweli lkn kwa sh 300.? kwan hawajui chpps kama zinapendwa.? mbona hapo kabwe nimeuziw tu kawaid kav buku ba yai 2000.sema zinakua nying
Kwanza Mnyakyusa na chips mayai wapi na wapi? Findu fya bajanga?
 
Ila mbeya mzunguko wa hela ni mdogo sana
Ungekuwa mdogo Sana kama usemavyo Mji ungekuwa haukui na maendeleo ya mkoa yangedumaa.

Bahati nzuri kila Takwimu za Uchumi za serikali zinaiweka Mbeya kwenye top 5 sasa sijui unamaanisha nini mkuu.

Mjini pale kuna lundo la mavyuo saizi mapesa kama yote
 
[QUOTE="witnessj, post: 39259452, member: 280316"
Haina kweere uzuri moyo umeamua so ni wewe tu kujiachia

Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
[/QUOTE]Anaejiachia anapakuanzia, huyu Mjuba anajilipua. tumuombee nusura angalau awe na mwanzo mwema.
 
Mi nilichogundua sehemu yoyote ambayo vyakula vinapatikana kwa bei nafuu basi iyo sehemu mzunguko wa hela ni mdogo sana
Pole Sana mkuu,hali ya hewa inaruhusu iwe hivyo.Mbeya haitegemei Mazao tuu bali shughuli anuwai za kiuchumi zikiwemo madini
 
Nimeishi mbalizi,itende na maeneo ya meta hapo, mbeya ni mji mmoja mzuri sana kuishi vyakula bei rahisi,hali ya hewa safi,ukarimu nk;tatizo la huko kipindi cha mvua kuna tope sana, udongo wa huko ni mfinyanzi,wakati wa vumbi napo utatamani muda wote ukae ndani yani ni kero, mbeya watu wanawahi sana kujifungia ndani saa 4 usiku daladala za kutafuta sijajua kwa Sasa maana nimetoka huko 3 years ago,wanawake wa mbeya kiukweli sio wagumu kihivyo juhudi yako tu [emoji38][emoji38].Huko nyumba zao nyingi kwa maeneo niliyoishi zimejengwa kwa matofali mabichi chache sana zimepigwa plasta kwa nje ukiwa mtu wa kupenda vyumba au nyumba zenye standard inayotakiwa utaangaika kidogo,mzunguko wa pesa sio mkubwa sana.
Saizi ni tofauti na zamani japo bado kidogo hasa msimu wa baridi
 
nilisikiaga mbeya viaz ving ni kweli lkn kwa sh 300.? kwan hawajui chpps kama zinapendwa.? mbona hapo kabwe nimeuziw tu kawaid kav buku ba yai 2000.sema zinakua nying
Ni wale wapuuzi wanaoamini eti Mbeya kuna jengo moja la lift ..wakati kiuhalisia leo hii Jiji limekua Sana na ndio maana wanagwanya kupata Manispaa ya Uyole na Mbeya Jiji.

Pia wanaunda Halmashauri ya Mji wa Mbalizi na Kuanzisha Halmashauri ya Mbeya Vijijini na nyingine mpya ,hii inakupa picha Mji umekua.

Kwa mfano ukichukua Manispaa ya Uyole na Jiji la Mbeya kuna zaidi ya watu 600k,,ukijumlisha ya Mbalizi Unapata ukanda wa watu zaidi ya 800k wanaoishi mjini sasa hao si watu wachache hata kidogo,mzunguko wa pesa upo
 
mwkaa gan mamb ya 200? juz juz tu nimekula hapo vwawa wali nyama maharag na nikaona napewa na parachcih 2000.
Mpuuzi huyo achana nae.Mbeya saizi kuna hadi UDSM-MUCHAS yaani University of Dar es Salaam -Mbeya University College of Health and Allied Sciences.

On top of that Taasisi ya Saratani ya Ocean Road inajenga Centre ya Saratani pale rufaa,kiufupi kwa ma vyuo ni mengi hadi sio vizuri sasa hizo bei zitatoka wapi?

Kuna wapuuzi wanaoamini Mbeya ya zamani ndio ya sasa ilhali Jiji limebadilika majengo ya ghorofa yanaota kila uchao.

Barabara ndio changamoto but nazo kabla ya 2025 zitafumuliwa na kujengwa njia 4 kutoka Inyala hadi Tunduma,Uyole-Songwe bypass na Iwambi-Mbalizi bypass ndio miradi mikubwa itatekelezwa kwa Mbeya.
 
Back
Top Bottom