road master
JF-Expert Member
- Jun 11, 2020
- 2,064
- 3,021
Nimezaliwa nikasomea na kukulia dar ila nomehama na sijutiii kabisa!!!Si mnaonaga raha kusema "nipo naishi DSM".
Nikija huko nawahurumia sana masela!!!
Nimezaliwa nikasomea na kukulia dar ila nomehama na sijutiii kabisa!!!Si mnaonaga raha kusema "nipo naishi DSM".
Umegundua kuishi Dar bila michongo ya maana sio ishu au siyo?!!.Nimezaliwa nikasomea na kukulia dar ila nomehama na sijutiii kabisa!!!
Nikija huko nawahurumia sana masela!!!
Kuna watu nawajua kutoka kijijini Hawana elimu hata ya darasa la saba lakini dar imewapatia Maisha na kamwe ukiwatajia kuhama mkoa Hawawezi kukuelewa hata kidogoHuko Mbeya hata room ya elfu 20 yenye umeme utapata. Ila ukae ukijua hakuna mkoa wanapogawa hela bure,ninapoandika hivi sina maana ya kukukatisha yamaha,unatoka kwenye jiji lenye watu takriban m6 lenye mzunguko wa pesa mzuri hata ukiuza maji unapata hela,unaenda mahali ambapo mzunguko wa pesa upo chini,vitu ni bei rahisi kama vile chakula makazi n.k ,lakini kuipata hela yenyewe ya kununua hivyo vitu ambavyo ni rahisi 'ipo kazi' nakushauri jitafakari upya ujiwekee make mapya ya maisha yako
Itakuwa Safi ,kuna watu wanafanya hizo biashara ni yeye kutafuta michongo naoHivi akitoa hayo mazao ya kilimo mfn parachch,karot,ndz,viaz n.k vinavyopatikana mbeya kwa bei ya chini akiwa anapeleka dar ambako tayar anauzoefu nako hapo itakuaje mkuu?
Kwani kunakoitwa mikoani kuna shida gani ambayo watu wa Dar hawapati?Tatizo watu wanaogopa maisha ya mikoani !!! Mm nimekulia dar ila nimeamua kuondoka ninaona kuna tofauti sana na mikoani ,Dar imetaiti sana sana huwezi tengenwza fedha ya maana kilaini aisee!!!
Umehadithiwa nini?wanyakusa wapo wilaya mbili kyela na rungwe huko kwingine wamehamia sasa kwenye mabaya kuwahusisha ni kuwakosea maana mbeya ina makabila mengi tu.Write your reply...tatizo la Mbeya ni uchawi na ukabila; wanyakyusa hawapendi wageni
..."kuja kutafuta changamoto mjini"...!Sasa umepata changamoto tena unalalamika?Au kwa sasa unatafuta "fursa"? Anyway.don't give up,fella!Nilihama nyumbani kuja kutafuta changamoto mjini pamenigonga sina budi kucheki upepo mpya.
Kama una mke ndo kabisaa wahuni wahuni wanakupigiaYaap unafanya kazi kwa mhindi mshahara laki 3 unaishi Goms (g/mboto) bunju, Mbagala au Mbezi unaamka saa 11 asbh kuwahi town kibaruani unatoka kibaruani saa 11 jioni unafika nyumbani choka mbaya njaa uchovu ukiangalia kwa siku umetumia nauli chakula maji jumla kama buku 7 unajikuta umekua mtumwa kazi haikulipi
Wazawa ni kabila gani wasafwa?Umehadithiwa nini?wanyakusa wapo wilaya mbili kyela na rungwe huko kwingine wamehamia sasa kwenye mabaya kuwahusisha ni kuwakosea maana mbeya ina makabila mengi tu.
Hata me nawajua baadhi yaani hata kusoma na kuandika ni shida lakini maisha yanaenda hawa wanatumia akili ya kuzaliwa ambayo ina nguvu zaidi kuliko akili ya kutegemea makaratasi ndo yakupe ajira.Kuna watu nawajua kutoka kijijini Hawana elimu hata ya darasa la saba lakini dar imewapatia Maisha na kamwe ukiwatajia kuhama mkoa Hawawezi kukuelewa hata kidogo
Imetoka moyon hii kabisa....yaan hutak ujinga.hahahahahSiwezi ishi mkoani na sijawahi ishi kwa zaidi ya wiki moja napenda sehemu ambayo ni center ya huduma nyingi sana nitapambana kwa juhudi zote kubaki mijni hata nipewe huduma zote bure mkoani cwez kaa huko cwezi ishi sehemu ambao nikihitaj vitu nivifate DSM yani mimi inataka bidii kubwa sana mtu kuni convice labda kwenye maisha ya mume akinibana nimfuate anapotaka naweza kufkiria[emoji854]
Wasafwa asili yao ipo kwenye wilaya mbili,Mbeya jijini,na Mbeya vijijini. Wanyachusa ni Kyela na Rungwe.Wazawa ni kabila gani wasafwa?
Kweli kabisa mkuuTatizo watu wanaogopa maisha ya mikoani !!! Mm nimekulia dar ila nimeamua kuondoka ninaona kuna tofauti sana na mikoani ,Dar imetaiti sana sana huwezi tengenwza fedha ya maana kilaini aisee!!!
Leo nilipita kwa dogo m1 mbez anauza matikit..nmenunua tikit 1..by the way tikit buk5 sasa hiv aisee.anasema ni adimu sana...Kwa wataalamu wanaopajua Mbeya vizuri tupeana ripoti kuhusu makazi.
Nahitaji nipate room yenye gharama ya chini ya elfu 30 na nikalipa mwezi na kujipanga.
Nachokisikia Mbeya maisha ni marahisi nahitaji kwenda kujaribu huko.
🙏🙏🙏 mkuu ngoja niandae mazingira ya salio nijilipue.Leo nilipita kwa dogo m1 mbez anauza matikit..nmenunua tikit 1..by the way tikit buk5 sasa hiv aisee.anasema ni adimu sana...
Well..nkawa namuhoj..akasema kwa siku anauza mpaka matikit 30...kama hajauza kabisa bas 20......akasema faida kwa kila tikit anapata 1800-2000.
Nkasema simchezo hawa watoto..haya mchongo huo nmekupa
Imetoka moyon hii kabisa....yaan hutak ujinga.hahahahah