Nahamia Mbeya maisha ya Dar yamenipiga vya kutosha

Nahamia Mbeya maisha ya Dar yamenipiga vya kutosha

Angalia usije ukawa kama mimi, nilitoka mkoa nikaenda dar, kisha nikarudi mkoa, nikatoka tena mkoa nikaenda dar kisha nikarudi mkoa, mwezi uliopita nimerudi tena dar.
Wakati mwingine tatizo ni mtu na sio mahali
Unayumba sana kama John Boko
 
Kwa wataalamu wanaopajua Mbeya vizuri tupeana ripoti kuhusu makazi.

Nahitaji nipate room yenye gharama ya chini ya elfu 30 na nikalipa mwezi na kujipanga.

Nachokisikia Mbeya maisha ni marahisi nahitaji kwenda kujaribu huko.
Rooms zipo 20-25, maisha ni magum usipojishughulisha
 
Back
Top Bottom