Nahisi amenicheat au mimi ndio mchepuko

Gonga kisha sepa. Wa wengi huyo.
 
Demu anakuja kulala kwako ,inafika usiku unaanza kujibalagua na PC
Hiv unaanzaje kuchezea PC wakat Upo na dem kitandan yupo kanga moja amejilaza ?

Hii mkuu hio kitu yako inafanya kazi kweli

Huyo demu kamis dudu ,wewe badala umshughulikie Upo busy kukagua simu

Mim demu akija geto napiga pumbu has a mpaka mbunye inawaka moto ,inatepeta mpaka nahakikisha mbunye naichakaza hasa

Nyie wanaume wa dar shida tupu
 
Kama hujibu message tayari umeshafanya maamuzi magumu, usikilizie moyo wako.
 
Mtu amemic kulala kwako we unacheza na pc badala ya kucheza nae kweli? Kwa tabia iyo upenziwenza hauepukiki☹☹
 
POINTI MUHIMU.

1)."Akasema huyu ni jamaa ambaye hajawai muona ila yupo mkoa X,na kwamba amaenza kumsumbua tokea mwaka jana mwezi wa 9".

2)."Akajibu kwamba hao ni marafiki tu nisiwe na wasi wasi".

3)."Alianza kulia na kuomba msamaha".

MAELEZO KWA KINA .

1).Kauli hii huwa wanatumia wanawake/wasichana kujitetea wanapoona wamehisiwa kwamba wanachepuka , kitaalamu hapo anakuandalia vitu hivi viwili na muhimu ili aweze kukutuliza.

a).Kukuaminisha kwamba yeye anajiheshimu hii itakufanya utengeneze uaminifu kwake.

b).Kukuaminisha kwamba yeye si muongo hata kidogo.

Sasa kosa kubwa ni wewe kumuamini je? Utamkamata vipi ili kuvunja hizo pointi hapo juu?
Ni rahisi muulize swali dogo tu "Kwanini ulii save namba yake? Halafu mkazie macho akiwa anajibu.

2).Kwa kauli hii ya pili ni kwamba hao ni watu wake na hapo anajaribu kukuondoa kwenye pointi muhimu yaani anafanya kama hapo namba 1 kipengele (a) kwenye maelezo yangu.

Kwanini nakuambia anakudanganya? Kwanza hakunaga urafiki kati ya mwanamke na mwanaume .

3).Hii kitaalamu inaitwa "Reverse psychology" unaweza kuifuatilia kabisa kwenye vyanzo mbali mbali ila kwa kifupi ni pale ambapo unamtengenezea mtu mazingira ya yeye kufanya kitu kinyume na kile alichoamrishwa ila ikiwa hasa hicho alichofanya ndo kusudio kamili.

Mfano ni pale mwanamke/ msichana anapojua kabisa amefanya kosa ika sasa ili usianze kumfokea labda kwa hasira au hata kuachana kama ni wapenzi anaanza kulia huku akisema kwamba humpendi hii itakutengenezea huruma na pia utajikuta unajiona wewe ndo mwenye kosa na kumuomba msamaha , ni technique kubwa ambayo wanaitumia wanawake kupata wanachokitaka .

Sasa kama umeshaona hivyo cha kufanya ni kujiuliza maswali haya kabla ya kufanya maamuzi .

1).je? Unampenda kweli na una malengo naye?
2).Je? Uwepo wake una athari kubwa kwako yaaani mfano ukamuacha je? Itakuathiri vipi wewe ?
3).je? Una mbadala wake?

Sasa kama utaona ana impact ndogo kwako na hauna malengo naye basi muweke huru tu aendelee nao.

Au unaweza kufanya love revenge ambayo ina psychological impact yaani ukajifanya umesahau kisha ukazidisha mapenzi halafu mwisho ukamtambulisha kwa mwenzake yeye akiwa kama x girlfriend(powerful revenge).

Au unaweza pia kumshusha cheo akawa wa kupiga tu, na ili ukae sawa inakubidi ukubali kuwa haupo mwenyewe na yeye ana watu wengi tu so na ww ni wakupita.

Ni ushauri tu mkuu unaweza kuufuata au kuuacha .

✌
 
Sijataka tu kutaja mkoa halisi, lakini sio story ya kutunga ni issue serious kabisa

Hata sasa anatuma msg na sina muda nazo


Hii picha bila uzi ni utopolo..

sorry,

Huu uzi hila picha Ni utopolo
 
ningekua ni mimi ningetembelea nyuzi za Jokajeusi nikapate abc's
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…