Nahisi amenicheat au mimi ndio mchepuko

Nahisi amenicheat au mimi ndio mchepuko

Ilikua hivi

Ni usiku wa jana majira ya saa 5 usiku hivi, niko na mpenzi wangu,alikuja ninapokaa akidai leo ana leo amemic tu kulala na mimi.

Sasa wakati huo yeye akiwa amejilaza kitandani wakati mimi nikiendelea kumalizia shughuli zangu kwenye PC.

Mara simu yake ikaita, hilo jina kuna namna fulani hivi alikua amesave, hali iliyonipa uwalakini kidogo. Lakini mara hii ya kwanza sikupokea, huyo mtu akapiga tena, nikasema labda atakuwa ni mtu muhimu so acha nipokee nimsikilize, lakini nilipopokea kwa jinsi yule alivyoanza kuzungumza nikagundua tu kwamba hapa huyu wala sio ndugu yake labda atakua ni msela ambae tunashare penzi.

Sasa mimi nilipogundua hivo na kutokana nilitaka kujua hasa yeye ni nani, ikabidi nianze kumsikiliza.

Nilipopokea akasema namuomba mwenye simu, mimi nikamuuliza kwani wewe ni nani? Maana hii simu nimeiokota

Akajibu mimi ni rafiki yake, nikasema urafiki ndio upige simu mda huu, ikabidi tu nimchane live, nikamuambia "acha kumsumbua huyu binti kwani ana mpenzi wake"

Jamaa akapanic kwa hasira akisema "huyo binti namfahamu kabla yako, alafu kuwa makini maana haujui ni nani unaongea nae, maana nikiamua kukutafuta hata leo ninakupata na nitakufundisha adabu"

Mimi nikamjibu "nakusubiri ufanye unachofanya kama wewe kidume"

Baada ya hapo sikuendelea kuongea na ile simu.

Ikabidi nimuamshe huyu bidada, nikamuuliza huyu anaepiga simu ni nani?

Akaanza kusema punguza hasira nikuambie, nikamumbie nakupa dakika 2 za kuniambia huyu ni nani au uondoke zako
"akasema huyu ni jamaa ambaye hajawai muona ila yupo mkoa X,na kwamba amaenza kumsumbua tokea mwaka jana mwezi wa 9"

Na baada ya hapo kukaingia tena text za wanaume wawili(2),nikamuuliza na hawa ni kina nani akajibu ni marafiki zangu, nikamuuliza ndio wanataka wachat na wewe usiku huu?
Akajibu kwamba hao ni marafiki tu nisiwe na wasi wasi

Na kwa kuwa penzi letu halina muda mrefu sana, huyu bidada alikua hatakagi nishike simu yake, lakini yangu huwa anashika akikuta text ya msichana lazima aulize huyu ni nan, na mimi bila hiyana huwa namjibu kabisa lakini yeye huwa ni mzito sana.

Ilibidi nimjibu tu kwamba kama unaona hawa ambao wanakutafuta muda huu ni wa muhimu endelea kuwa nao.
Alianza kulia na kuomba msamaha, lakini bado sijatoa maamuzi maana hata msg zake sijibu wala kupokea simu mpaka muda huu.

Sasa wakuu, ingekua ni wewe ungefanya uamuzi gani?
Kubaaababaaa labakeeee nasemahivi kimbiaaa man......toka nduki mzeiya.Zundukaaa.
 
Zamani nilikuwa nawalaumu sana wanaume ambao wanachapa na kutembea,nilikuwa naona wanawaumiza wanawake bure tu.
 
"When a woman goes from hot to cold and back again, this IS the message – she’s got buyer’s remorse, you’re not her first priority, she’s deliberating between you and what she perceives is a better prospect." - Rational Male
 
Sijaona sehwmu yoyote ukisema kuwa umemgegeda maana lengo la yeye kuja kwako ni alimic kulala nawe.
alafu wewe unaendelea kuchapa chapa marimba ya mzungu and then unashangaa why demu ana kuwa na wanaume wengine!
Be serious braza demu akija kwako marimba ya mzungu pembeni wee unachapa ile papuchi vizuri.
Ahahahaha kwamba mwamba analeta uzungu
 
Mwanamke haujamtoa bikra unadhani uko peke yako? Unapomtongoza yeye hakuwa na mpenzi alikuwa anakusubili ww 2 umtoe maugwadu? kabla ya kuingia kwny mahusiano lazima ujiandae kisaikolojia kukutana na mauza uza kama haya,so hapo inategemeana na ww kama umempenda as wife material lazima umbadilishe mdogo mdogo yawezekana nmnaviziana 2 cz hats wao hawatuamini wanaume moja kwa moja wanahisi unapita so lazima uvumilivu uhusike,ukimuacha unaenda kwa mwingn nae tabia ni hizo hizo labd utafute bikra mmoja au uumbe wako
 
Kwa Mwanaume ukishahisi kuwa hili koloni sipo peke yangu Hama, Jitoe, acha Kabisa, Mapema iwezekanavyo.... Kinachofuata Ni Kuumia. Labda Kama Ni chai umeamua kutunywesha.
Katika usimuliaji wake sioni Kama hii ni chai bali ni kweli kabisa. It's easy to judge when a person has never experienced the same situation.
Maamuzi ya mapema huwa hayaumizi, achelewe baadae aumie zaidi.
 
Ilikua hivi

Ni usiku wa jana majira ya saa 5 usiku hivi, niko na mpenzi wangu,alikuja ninapokaa akidai leo ana leo amemic tu kulala na mimi.

Sasa wakati huo yeye akiwa amejilaza kitandani wakati mimi nikiendelea kumalizia shughuli zangu kwenye PC.

Mara simu yake ikaita, hilo jina kuna namna fulani hivi alikua amesave, hali iliyonipa uwalakini kidogo. Lakini mara hii ya kwanza sikupokea, huyo mtu akapiga tena, nikasema labda atakuwa ni mtu muhimu so acha nipokee nimsikilize, lakini nilipopokea kwa jinsi yule alivyoanza kuzungumza nikagundua tu kwamba hapa huyu wala sio ndugu yake labda atakua ni msela ambae tunashare penzi.

Sasa mimi nilipogundua hivo na kutokana nilitaka kujua hasa yeye ni nani, ikabidi nianze kumsikiliza.

Nilipopokea akasema namuomba mwenye simu, mimi nikamuuliza kwani wewe ni nani? Maana hii simu nimeiokota

Akajibu mimi ni rafiki yake, nikasema urafiki ndio upige simu mda huu, ikabidi tu nimchane live, nikamuambia "acha kumsumbua huyu binti kwani ana mpenzi wake"

Jamaa akapanic kwa hasira akisema "huyo binti namfahamu kabla yako, alafu kuwa makini maana haujui ni nani unaongea nae, maana nikiamua kukutafuta hata leo ninakupata na nitakufundisha adabu"

Mimi nikamjibu "nakusubiri ufanye unachofanya kama wewe kidume"

Baada ya hapo sikuendelea kuongea na ile simu.

Ikabidi nimuamshe huyu bidada, nikamuuliza huyu anaepiga simu ni nani?

Akaanza kusema punguza hasira nikuambie, nikamumbie nakupa dakika 2 za kuniambia huyu ni nani au uondoke zako
"akasema huyu ni jamaa ambaye hajawai muona ila yupo mkoa X,na kwamba amaenza kumsumbua tokea mwaka jana mwezi wa 9"

Na baada ya hapo kukaingia tena text za wanaume wawili(2),nikamuuliza na hawa ni kina nani akajibu ni marafiki zangu, nikamuuliza ndio wanataka wachat na wewe usiku huu?
Akajibu kwamba hao ni marafiki tu nisiwe na wasi wasi

Na kwa kuwa penzi letu halina muda mrefu sana, huyu bidada alikua hatakagi nishike simu yake, lakini yangu huwa anashika akikuta text ya msichana lazima aulize huyu ni nan, na mimi bila hiyana huwa namjibu kabisa lakini yeye huwa ni mzito sana.

Ilibidi nimjibu tu kwamba kama unaona hawa ambao wanakutafuta muda huu ni wa muhimu endelea kuwa nao.
Alianza kulia na kuomba msamaha, lakini bado sijatoa maamuzi maana hata msg zake sijibu wala kupokea simu mpaka muda huu.

Sasa wakuu, ingekua ni wewe ungefanya uamuzi gani?

Huyo ni malaya tu broo..hiko ni kama kisa changu mimi..tukio lako kama linanikumbusha langu tu,halitofautiani chochote..ipo siku utafumania live pia kama ilivyotokea kwangu..mungu hamfichi mwanamke muongo..kwan wao hawakuumbiwa kua na wanaume zaidi ya mmoja..
 
Back
Top Bottom