gidume
JF-Expert Member
- Dec 12, 2017
- 743
- 915
POINTI MUHIMU.
1)."Akasema huyu ni jamaa ambaye hajawai muona ila yupo mkoa X,na kwamba amaenza kumsumbua tokea mwaka jana mwezi wa 9".
2)."Akajibu kwamba hao ni marafiki tu nisiwe na wasi wasi".
3)."Alianza kulia na kuomba msamaha".
MAELEZO KWA KINA .
1).Kauli hii huwa wanatumia wanawake/wasichana kujitetea wanapoona wamehisiwa kwamba wanachepuka , kitaalamu hapo anakuandalia vitu hivi viwili na muhimu ili aweze kukutuliza.
a).Kukuaminisha kwamba yeye anajiheshimu hii itakufanya utengeneze uaminifu kwake.
b).Kukuaminisha kwamba yeye si muongo hata kidogo.
Sasa kosa kubwa ni wewe kumuamini je? Utamkamata vipi ili kuvunja hizo pointi hapo juu?
Ni rahisi muulize swali dogo tu "Kwanini ulii save namba yake? Halafu mkazie macho akiwa anajibu.
2).Kwa kauli hii ya pili ni kwamba hao ni watu wake na hapo anajaribu kukuondoa kwenye pointi muhimu yaani anafanya kama hapo namba 1 kipengele (a) kwenye maelezo yangu.
Kwanini nakuambia anakudanganya? Kwanza hakunaga urafiki kati ya mwanamke na mwanaume .
3).Hii kitaalamu inaitwa "Reverse psychology" unaweza kuifuatilia kabisa kwenye vyanzo mbali mbali ila kwa kifupi ni pale ambapo unamtengenezea mtu mazingira ya yeye kufanya kitu kinyume na kile alichoamrishwa ila ikiwa hasa hicho alichofanya ndo kusudio kamili.
Mfano ni pale mwanamke/ msichana anapojua kabisa amefanya kosa ika sasa ili usianze kumfokea labda kwa hasira au hata kuachana kama ni wapenzi anaanza kulia huku akisema kwamba humpendi hii itakutengenezea huruma na pia utajikuta unajiona wewe ndo mwenye kosa na kumuomba msamaha , ni technique kubwa ambayo wanaitumia wanawake kupata wanachokitaka .
Sasa kama umeshaona hivyo cha kufanya ni kujiuliza maswali haya kabla ya kufanya maamuzi .
1).je? Unampenda kweli na una malengo naye?
2).Je? Uwepo wake una athari kubwa kwako yaaani mfano ukamuacha je? Itakuathiri vipi wewe ?
3).je? Una mbadala wake?
Sasa kama utaona ana impact ndogo kwako na hauna malengo naye basi muweke huru tu aendelee nao.
Au unaweza kufanya love revenge ambayo ina psychological impact yaani ukajifanya umesahau kisha ukazidisha mapenzi halafu mwisho ukamtambulisha kwa mwenzake yeye akiwa kama x girlfriend(powerful revenge).
Au unaweza pia kumshusha cheo akawa wa kupiga tu, na ili ukae sawa inakubidi ukubali kuwa haupo mwenyewe na yeye ana watu wengi tu so na ww ni wakupita.
Ni ushauri tu mkuu unaweza kuufuata au kuuacha .
[emoji111]
Bonge la ushauri