Nahisi amenicheat au mimi ndio mchepuko

Nahisi amenicheat au mimi ndio mchepuko

Sijaona sehwmu yoyote ukisema kuwa umemgegeda maana lengo la yeye kuja kwako ni alimic kulala nawe.
alafu wewe unaendelea kuchapa chapa marimba ya mzungu and then unashangaa why demu ana kuwa na wanaume wengine!
Be serious braza demu akija kwako marimba ya mzungu pembeni wee unachapa ile papuchi vizuri.
Na ikiwezekana hata kwa Mpalange unaenda
 
Cku ukiacha kujihusisha na wanawake wakiTZ utafika Mbali Sana Mkuu
 
Huwa nasema kila mda, simu ni privacy ya mtu, hairuhusiwi mtu mwingne kushika. Haijalishi mna uhusiano gan. Kila mtu awe buzzy na cm yake. Huku mahusiano yakiendelea.
Poleeh sana
Mkuu, kweli umpendae huwezi shika simu yake? Na ukiona Me au Ke hataki kugusa simu yake hapo hakuna usalama vinginevyo uwe umehiari kuwa wengi.
 
Ilikua hivi

Ni usiku wa jana majira ya saa 5 usiku hivi, niko na mpenzi wangu,alikuja ninapokaa akidai leo ana leo amemic tu kulala na mimi.

Sasa wakati huo yeye akiwa amejilaza kitandani wakati mimi nikiendelea kumalizia shughuli zangu kwenye PC.

Mara simu yake ikaita, hilo jina kuna namna fulani hivi alikua amesave, hali iliyonipa uwalakini kidogo. Lakini mara hii ya kwanza sikupokea, huyo mtu akapiga tena, nikasema labda atakuwa ni mtu muhimu so acha nipokee nimsikilize, lakini nilipopokea kwa jinsi yule alivyoanza kuzungumza nikagundua tu kwamba hapa huyu wala sio ndugu yake labda atakua ni msela ambae tunashare penzi.

Sasa mimi nilipogundua hivo na kutokana nilitaka kujua hasa yeye ni nani, ikabidi nianze kumsikiliza.

Nilipopokea akasema namuomba mwenye simu, mimi nikamuuliza kwani wewe ni nani? Maana hii simu nimeiokota

Akajibu mimi ni rafiki yake, nikasema urafiki ndio upige simu mda huu, ikabidi tu nimchane live, nikamuambia "acha kumsumbua huyu binti kwani ana mpenzi wake"

Jamaa akapanic kwa hasira akisema "huyo binti namfahamu kabla yako, alafu kuwa makini maana haujui ni nani unaongea nae, maana nikiamua kukutafuta hata leo ninakupata na nitakufundisha adabu"

Mimi nikamjibu "nakusubiri ufanye unachofanya kama wewe kidume"

Baada ya hapo sikuendelea kuongea na ile simu.

Ikabidi nimuamshe huyu bidada, nikamuuliza huyu anaepiga simu ni nani?

Akaanza kusema punguza hasira nikuambie, nikamumbie nakupa dakika 2 za kuniambia huyu ni nani au uondoke zako
"akasema huyu ni jamaa ambaye hajawai muona ila yupo mkoa X,na kwamba amaenza kumsumbua tokea mwaka jana mwezi wa 9"

Na baada ya hapo kukaingia tena text za wanaume wawili(2),nikamuuliza na hawa ni kina nani akajibu ni marafiki zangu, nikamuuliza ndio wanataka wachat na wewe usiku huu?
Akajibu kwamba hao ni marafiki tu nisiwe na wasi wasi

Na kwa kuwa penzi letu halina muda mrefu sana, huyu bidada alikua hatakagi nishike simu yake, lakini yangu huwa anashika akikuta text ya msichana lazima aulize huyu ni nan, na mimi bila hiyana huwa namjibu kabisa lakini yeye huwa ni mzito sana.

Ilibidi nimjibu tu kwamba kama unaona hawa ambao wanakutafuta muda huu ni wa muhimu endelea kuwa nao.
Alianza kulia na kuomba msamaha, lakini bado sijatoa maamuzi maana hata msg zake sijibu wala kupokea simu mpaka muda huu.

Sasa wakuu, ingekua ni wewe ungefanya uamuzi gani?
Mimi siwezi pokea na kuanza rumbana na mtu kisa Gf ambaye wala si mke wangu wala mchumba. Hivi nguvu za kupokea simu za mademu zenu mnazipataga wapi?
Kama vipi we fanya kumpiga chini tu picha umeona au unasubiri mpaka movie kabisa
 
Buroo hiyo umepanda daladala ila konda
kakwambia umekodi uko pekeeako 😆😆 stuka!!!!!!!!!!!
 
Mimi siwezi pokea na kuanza rumbana na mtu kisa Gf ambaye wala si mke wangu wala mchumba. Hivi nguvu za kupokea simu za mademu zenu mnazipataga wapi?
Kama vipi we fanya kumpiga chini tu picha umeona au unasubiri mpaka movie kabisa
Girlfriend kwani siyo mchumba??
 
Ilikua hivi

Ni usiku wa jana majira ya saa 5 usiku hivi, niko na mpenzi wangu,alikuja ninapokaa akidai leo ana leo amemic tu kulala na mimi.

Sasa wakati huo yeye akiwa amejilaza kitandani wakati mimi nikiendelea kumalizia shughuli zangu kwenye PC.

Mara simu yake ikaita, hilo jina kuna namna fulani hivi alikua amesave, hali iliyonipa uwalakini kidogo. Lakini mara hii ya kwanza sikupokea, huyo mtu akapiga tena, nikasema labda atakuwa ni mtu muhimu so acha nipokee nimsikilize, lakini nilipopokea kwa jinsi yule alivyoanza kuzungumza nikagundua tu kwamba hapa huyu wala sio ndugu yake labda atakua ni msela ambae tunashare penzi.

Sasa mimi nilipogundua hivo na kutokana nilitaka kujua hasa yeye ni nani, ikabidi nianze kumsikiliza.

Nilipopokea akasema namuomba mwenye simu, mimi nikamuuliza kwani wewe ni nani? Maana hii simu nimeiokota

Akajibu mimi ni rafiki yake, nikasema urafiki ndio upige simu mda huu, ikabidi tu nimchane live, nikamuambia "acha kumsumbua huyu binti kwani ana mpenzi wake"

Jamaa akapanic kwa hasira akisema "huyo binti namfahamu kabla yako, alafu kuwa makini maana haujui ni nani unaongea nae, maana nikiamua kukutafuta hata leo ninakupata na nitakufundisha adabu"

Mimi nikamjibu "nakusubiri ufanye unachofanya kama wewe kidume"

Baada ya hapo sikuendelea kuongea na ile simu.

Ikabidi nimuamshe huyu bidada, nikamuuliza huyu anaepiga simu ni nani?

Akaanza kusema punguza hasira nikuambie, nikamumbie nakupa dakika 2 za kuniambia huyu ni nani au uondoke zako
"akasema huyu ni jamaa ambaye hajawai muona ila yupo mkoa X,na kwamba amaenza kumsumbua tokea mwaka jana mwezi wa 9"

Na baada ya hapo kukaingia tena text za wanaume wawili(2),nikamuuliza na hawa ni kina nani akajibu ni marafiki zangu, nikamuuliza ndio wanataka wachat na wewe usiku huu?
Akajibu kwamba hao ni marafiki tu nisiwe na wasi wasi

Na kwa kuwa penzi letu halina muda mrefu sana, huyu bidada alikua hatakagi nishike simu yake, lakini yangu huwa anashika akikuta text ya msichana lazima aulize huyu ni nan, na mimi bila hiyana huwa namjibu kabisa lakini yeye huwa ni mzito sana.

Ilibidi nimjibu tu kwamba kama unaona hawa ambao wanakutafuta muda huu ni wa muhimu endelea kuwa nao.
Alianza kulia na kuomba msamaha, lakini bado sijatoa maamuzi maana hata msg zake sijibu wala kupokea simu mpaka muda huu.

Sasa wakuu, ingekua ni wewe ungefanya uamuzi gani?
Huyo ndugu na kajala
 
Back
Top Bottom