Nahisi amenicheat au mimi ndio mchepuko


Bonge la ushauri
 
Muda wa kuchati na marafiki zake unatakiwa uwe saa ngapi?
 
Huwa nasema kila mda, simu ni privacy ya mtu, hairuhusiwi mtu mwingne kushika. Haijalishi mna uhusiano gan. Kila mtu awe buzzy na cm yake. Huku mahusiano yakiendelea.
Poleeh sana
Kwa wenye ndoa hakuna usiri wowote labda kama unazungumzia wasera hata kwa wachummba walioserous huo usiri haufai
 
Mshushe gredi awe wa kipumnzikia tu Ila bila yeye kujijua
 
Mkuu ,nathubutu kusema ww ni great thinker...[emoji817]
 
Yenyewe hii mkuu... Umemaliza
 
wanawake nao wanatafuta greem pastures...ukiwa fresh maisha yanaenda na ukitsngaza ndoa ndio kabisa.

Huwa hawa watupi watu wa zamani?ukizingua anarudi kwa mtu wake wa zamani...nao wanamega kisela,mtu umekuta mkubwa unafikiri hana mtu...ili amuache inategemea nguvu yako haswa pesa...upendo, ahadi za uchumba na ndoa...!!

Usifikiri wale mademu wanaoliwa kimasihara hawana watu....!!

Kama unampenda jipange...we sio wa kwanza kwake!!!
 
Mtu wala si mkeo ila unataka kugombana na wanaume wengine kisa yeye. Ushawahi kuwaangalia Mbwa wakitaka kumpanda jike wanavyoleteana noma?
 
Papuchi haisusiwi mzee
 
Kwanini kumekua na nyuzi nyingi sana za kimapenzi zikilaumu wakina dada... Ina maana sisi wanaume ni wakamilifu sana [emoji2955]
 
Hali ni ngumu sana kiuchumi haiwezekani umiliki mwanamke peke yako, ni lazima tuishi kiujamaaa
 
Kiongozi hao ndio wako ivyo hata kwa ss ni hayo hayo tu. Ww piga spana tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…