Nahisi baba anataka kugawa urithi bila kunishirikisha. Naombeni msaada

mkuu ni baba yangu mzazi kabisaa, ata tukienda kupima DNA, lazima na mimi niwe sehemu ya ulithi
Siyo lazima. Kurithisha ni hiari ya mmiliki wa mali. Ipo mifano mingi inayoonesha mmiliki wa mali ana uhuru wa kugawa mali yake anavyotaka. Wewe badala ya kushughulikia mahusiano mema na mzazi wako, takwa la kidini, unashughulikia urithi. Umekosea. Na kwa Mungu umelaanika. Maana Umeshindwa kuheshimu wazazi. Pole Mzee. Maana miana miaka 38 wewe ni Baba unayetakiwa kuwarithisha wanao mali ulizozalisha enzi za ujana wako.

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Mwanaume miaka 38 unakaa kwa rafiki yako kisa kodi imeisha unakuja kulilia urithi wa baba ako. We kweli kima. Tafuta yakwako mzee


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Yaani ungekuwa karibu ningekuzaba vibao kabisa.!
Hata kama ungekuwa mwanangu nisingeishia kukufukuza tu ila ningekutoa kafara kabisa nipate hata vijisenti vya kusogeza siku.!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
... ni mali ya baba yako; ana uhuru wa kugawa apendavyo. Mambo ya urithi ndipo hasa ukuu wa mzazi unapoonekana; ni eneo lake la kujimwambafy hasa kama ulikuwa mtu wa kibri kutowatii wazazi lazima akutandike fimbo.

Sioni ni kwa vipi ulikuwa kijana mwema kwa wazazi akufanyie hivyo; hata kama mliwahi kukhitilafiana bado ulitakiwa uoneshe heshima kwake kama baba. Vumilia mkuu unavuna ulichostahili maana iko amri "waheshimu baba na mama yako upate miaka mingi na HERI duniani".
 
Miaka 38 yote unalilia Mali za urithi , huna akili , watu Kama nyie ndio mitaji ya ccm , ndio mana dingilai kakutimua aliona ww ni kilaza , tafuta mali zako acha ujinga

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hutakiwi kupewa hata kufuli la Solex maana hujielewi. Miaka 38 bado unalia Mali za Mzee na huna hata ghetto! Huwezi kumshtaki kwasababu upo zaidi ya miaka 18 huwezi kusema kakutelekeza mbaba mzima aibu!. Ungekuwa chini ya miaka 18 hata Mimi ningekupigania lakini kwa umri huo utanisamehe.
 
Hizo mali si zako, ni uamuzi wake kama ataamua kukupa au vinginevyo. Kama unahitaji ni bora utafute wazee wasuluhishe hilo suala
 
tafuta zako mkuu punguza lawama
 
Yaan nilivyoona tu heading nikaanza kucheka! Mali ya baba yako unataka kumpangia ampe nani!?
 
kwa kweli hili ni anguko kuu la vijana wa CCM, miaka 38 anasarandia urithi?, kijana ukiwa mwana CCM automatically unakuwa huna akili walla maarifa, yaani unakuwa totally tegemezi…..
 
Yaan nilivyoona tu heading nikaanza kucheka! Mali ya baba yako unataka kumpangia ampe nani!?

Siyo hiyo tu na kumfungulia mashtaka mahakamani


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…