Urithi Ni Mali iliyotayari sio Elimu kwani Elimu ingekuwa urithi tungerithi vyeti vya wazee wetu na kufanyia kazi
Inaweza kuwa kweli au sio kwelj lakini unadhani kilichoandikwa hakipo kwenye jamii?Jf unatakiwa usome maandiko then utumie akili yako kuchambua kilichoandikwa na hapa ndio utaona wenye akili ndogo wanang'ang'ana kutukana na mtoa mada utakuta yuko pembeni anawacheka sana. Hivi unaanzaje kuumia na kutukana kwa mtu usiyemfahamu na kwa habari usiyokuwa na uhakika nayo?
Acheni umburula jamaa kaamua kuwa anawalisha matangopori humu ili aone uelewa wenu ulivo mdogo
Hupaswi mtu kushupaza shingo na kutoa matusi na kejeli kwa mhusika utafikiri unajua maisha yake halisi japo haya mambo yapo kwenye jamiiInaweza kuwa kweli au sio kwelj lakini unadhani kilichoandikwa hakipo kwenye jamii?
Sent using Jamii Forums mobile app
Tafuta mali zako ili nawewe ukitaka kugawa usiingiliwe.Tatizo mnapenda vya bure ndo maana mnolewa.Habarini za siku, mimi ni kijana wa miaka 38 nadhani uko nyuma nilileta uzi wangu mnishauri maana baba alinifukuza kwake nilipokuwa nakaa kisa tu nilimshawishi awe na kadi ya Chama Cha Mapinduzi ambacho mimi ni mwananchama wake mtiifu aligoma na kunifukuza kwake.
Nilichoshangaa baba baada ya kunifukuza na kutafuta mtu wa kukaa mlangoni (mlinzi) kama ili kuzuia yeyote mgeni kuingia ndani bila ruksa nikiwepo mimi, jana jioni nasikia baba ameitisha kikao cha ndugu zangu wengine pasipo kuniita na mimi kwenye kikao kile.
Nasikia baba amegawa mali zake kwa wadogo zangu, naumiaa sana ndugu zangu wana jamiiforum nisaidieni, nahisi kufa naombeni mnishauri njia nzuri ya kwenda kumfungulia jarada mahakamani, mimi ni mtoto wake kabisa, kwanini hanishirikishi kwenye hizo mali, wakati mimi ni mkubwa nina uchungu na hasira sana, naombeni mawazo yenu wakuu.
Kwa sasa nipo kwa rafiki yangu nakaa kwao, sina pa kuanzia wakuu maana pale nilikuwa nimepanga kodi iliisha na kazi sina kabisa, rafiki yangu ameniambia nipigane juu chini nipate na mimi sehemu ya mali ili niweze kuanzisha maisha yangu.
Wataalamu wa sheria, na haki za vijana na urithi nisaidieni, mtoto wenu nataka kuzurumiwa na baba yangu kweupe kabisa
mkuu ni baba yangu mzazi kabisaa, ata tukienda kupima DNA, lazima na mimi niwe sehemu ya ulithi
Kwenye kutoboa nàkupinga usiwakariri hao wataalamu wa ulimwengu age is just a number Mengi alitoboa akiwa na 47, mmiliki bilionea wa KFC katoboa akiwa na 60+Sikuvunji moyo lakini wataalamu wa ulimwengu wanasema kuwa ukiisha vuka 35 yrs bila kutoboa huko uendako usijihangaishe tena. Swali la kijinga, Hivi weye 38 una watoto wangapi? Babako ana miaka mingapi?? Umesema weye ndo wa kwanza mwenye 38 Je babako alikuwa na miaka mingapi alipokupata? ; Nadhani amekuona sio rizki. Nenda tu Lumumba ukaombe kukaa mle mle mjengonii
Umekuja kunishtaki JF sasa ndo sikupi chochote kabisa
Mtegemea cha Baba hufa masikini.Tafuta chako.Wakati baba yako anatafuta usiku na mchana mlikuwa wote.
Pambana kijana tafuta pesa zako
Hayo ma mali yaneleta ugomvi, huwezi fanyia chochote
uongomimi ni kijana wa miaka 38
uongonilimshawishi awe na kadi ya Chama Cha Mapinduzi
uongoobaba baada ya kunifukuza na kutafuta mtu wa kukaa mlangoni (mlinzi) kama ili kuzuia yeyote mgeni kuingia ndani bila ruksa nikiwepo mimi,
Sasa hapo anataka kuku dhurumu kitu gani wakati Mali ni za kwake,ninacho kushauri wewe pambana na maisha bado kijana utapata pa kuanzia au kama vipi toka huo mkoa nenda mkoa mwingine kajichanganye huko achana na kufikiria mambo ya urithi wakati yeye hakurithi alipambana na wewe pambana.Habarini za siku, mimi ni kijana wa miaka 38 nadhani uko nyuma nilileta uzi wangu mnishauri maana baba alinifukuza kwake nilipokuwa nakaa kisa tu nilimshawishi awe na kadi ya Chama Cha Mapinduzi ambacho mimi ni mwananchama wake mtiifu aligoma na kunifukuza kwake.
Nilichoshangaa baba baada ya kunifukuza na kutafuta mtu wa kukaa mlangoni (mlinzi) kama ili kuzuia yeyote mgeni kuingia ndani bila ruksa nikiwepo mimi, jana jioni nasikia baba ameitisha kikao cha ndugu zangu wengine pasipo kuniita na mimi kwenye kikao kile.
Nasikia baba amegawa mali zake kwa wadogo zangu, naumiaa sana ndugu zangu wana jamiiforum nisaidieni, nahisi kufa naombeni mnishauri njia nzuri ya kwenda kumfungulia jarada mahakamani, mimi ni mtoto wake kabisa, kwanini hanishirikishi kwenye hizo mali, wakati mimi ni mkubwa nina uchungu na hasira sana, naombeni mawazo yenu wakuu.
Kwa sasa nipo kwa rafiki yangu nakaa kwao, sina pa kuanzia wakuu maana pale nilikuwa nimepanga kodi iliisha na kazi sina kabisa, rafiki yangu ameniambia nipigane juu chini nipate na mimi sehemu ya mali ili niweze kuanzisha maisha yangu.
Wataalamu wa sheria, na haki za vijana na urithi nisaidieni, mtoto wenu nataka kuzurumiwa na baba yangu kweupe kabisa
Hata kama mimi ningekuwa Baba yako nisinge kubali kukuandikisha kwenye urithi wakati unanishawishi nijiunge na CCM.mimetimiza week hii tarehe 11
Ingekuwa CHADEMA je?Hata kama mimi ningekuwa Baba yako nisinge kubali kukuandikisha kwenye urithi wakati unanishawishi nijiunge na CCM.
Sent using Jamii Forums mobile app