Nahisi baba anataka kugawa urithi bila kunishirikisha. Naombeni msaada

Wewe ni mjinga wa kiwango cha mwendo kasi, yaani miaka 38 unataka ulithi??? Acha ujinga asee

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Mali ni ya baba yako, sio yako wewe. Acha uvivu, fanya kazi na uachane na fikra za kimasikini hizo za kusubiri urithi


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa mtindo huu hata akikupa mali zote utarudi hapa baada ya muda ukitafuta pa kuanzia maana mali zimekwisha.
 
mimetimiza week hii tarehe 11
Kwani huko CCM hawajakupa urithi hata u DC? Kosa lako ni kutaja mambo ya itikadi kwenye mambo ya familia. Baba hakuiibia CCM kufikia alipo. Yawezekana alikuwa mwanachama mzuri wa Tanu ila hakupenda CCM. Wewe lia na CCM wakupe urithi.
 
Wewe uhusiki na hizo mali mana alikuona pimbi na zwazwa,yani kubwa jinga ndio mana alikufukuza kwake miaka 38 unanyolea vuzii hom.
Urithi wako mfuate bashiru au polepole watakupa mana wewe ni mwanaccm

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mkuu ni baba yangu mzazi kabisaa, ata tukienda kupima DNA, lazima na mimi niwe sehemu ya ulithi
Wewe nenda ccm makao makuu watakupa urithi kama wenzako wakudavadua,etwege,motochini,bia yetu etc.
Kwa mzazi wako huna chako mana kaona huna faida kwake akili zako za kijani zinamchefua

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jinga sana hili alafu ukute limesomeshwa alafu dume zima linakuja hapa eti linalilia ulith dah unatia aibu asee yaani badala upambane wewe unataka ulithi kweli??

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mpigie simu Polepole atakusaidia sana


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Umeamua kufanya dhihaka tu kwa chama kwa kutaja mambo yafuatayo

1. Umri miaka 38
2. Kuwa wewe ni mwanachama wa CCM
3. Kulilia mali ya urithi
4. Kuwa huna mbele wala nyuma na hujui cha kufanya
5. Kufukuzwa na baba yako kisa kumshawishi ajiunge CCM

Hii ni kutafuta cheap popularity, mxiuwww.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…