Diamond anajua sana aisee, kwamfano kwenye ile official video ya nyimbo ya gere (tanasha x platnumz) kuanzia ile dakika ya 1:57 mpaka dakika ya 2:15 jamaa kaonesha body language presence ya hali ya juu sana, pale anapoanza kuimba "Eeh mama kasema mwali mwana, umepata ntuliee simba, ntuliee simba, zile chenga vidanga dana vicheche nchuniee simba ooh nchunie simba" angalia hiyo body language yake.. Ni hatari
Daah diamond hafanyi kama wasanii wengine wa bongo fleva wanavyofanya, yuko tofauti kabisa, anastahili kufahamika kwenye anga za kimataifa
Dakika ya 2:07 kwenye wimbo wa gere nimeipenda body language yake alivokaa kwenye kiti akiwa serious ametulia, kama mfalme flani hivi..
Wachambuzi wengine wa kazi za diamond, mnakaribishwa.