Lengo la mtoa mada ilikuwa Ni kusifia ila alichokosea Ni uwasilishwaji wake wa mada.Mmekuja na la uraia sasa...!! Mmempambanisha na Kiba, wapi..!! Mmempambanisha Harmonise, lakini wapiii.!!! Sasa mmeanza la uraia...
By the way, BAADHI YENU MNAOJUA KIINGEREZA, inamaana nyie siyo watanzania..!??
Mnavyovaa mavazi yenye muonekano wa nchi zingine, nyie ni wa nchi hizo..!!?
Mnavyocheza masebene kwa kupatia kiasi kile, nyie ni wa Kongo..!!?
Mnavyojua kucheza KIMAKIRIKIRI, nyie ni wa Botswana..!!??
Tafakari...