Nahisi Diamond Platnumz sio Mtanzania, body language presence anayoonesha kwenye video zake, sio style za kitanzania ni style za ki-west Africa hivi

Nahisi Diamond Platnumz sio Mtanzania, body language presence anayoonesha kwenye video zake, sio style za kitanzania ni style za ki-west Africa hivi

Mmekuja na la uraia sasa...!! Mmempambanisha na Kiba, wapi..!! Mmempambanisha Harmonise, lakini wapiii.!!! Sasa mmeanza la uraia...

By the way, BAADHI YENU MNAOJUA KIINGEREZA, inamaana nyie siyo watanzania..!??

Mnavyovaa mavazi yenye muonekano wa nchi zingine, nyie ni wa nchi hizo..!!?

Mnavyocheza masebene kwa kupatia kiasi kile, nyie ni wa Kongo..!!?

Mnavyojua kucheza KIMAKIRIKIRI, nyie ni wa Botswana..!!??

Tafakari...
Lengo la mtoa mada ilikuwa Ni kusifia ila alichokosea Ni uwasilishwaji wake wa mada.
 
Nisiwe mnafki sijawahi iangalia hio nyimbo hata kwa sec40 itabidi niiangalie ili nione
Sio kuangalia tu uwe na kipaji cha kusoma bodelangieji km mtoa mada yaani bodelangueji yake sio ya kibongo ni west kabsaaaaaa
 
Aaaaaaa naomba utulivu screpa hp tunaongelea bodelangueji ya msanii wetu pendwa yaani wewe umeionaje
Mada yako kiukwel imetuchanganya Kuna vitu vya kudiscuss ila sio hicho ulichoandika
 
mwezako lugola anamsifia magu ili apate uwazir afu ww umekomaa kumsifia mondi ohooo labda atakupa nafas ya ubodigadi pale waasafi
Kila mtu anasifia anachokipenda . Kwamba anafaidika au atafaidika vipi, yeye mwenyewe ndiye anajua.
 
Diamond exposure imemsaidia sana, hiyo iko wazi. Hata video zake unaona anavyozitawala.
 
Back
Top Bottom