Ngoja nikusaidie japo kidogo tu .
Diamond wafanyakazi wake ni wazungu kuanzia editing na kuipangilia miziki yake ndio maana english yake kidogo ime improve.
Kwa muziki daimond yupo serious sana kwa maana anajua hajawahi pata elimu bora na muziki ndio sehemu kubwa ya mkate wake wa kila siku .
Seriously .,anayeuza mwili wake insta ni mzee wetu huyu mipicha tu kama mtoto nawala hajali kama kuwa muziki ni sehemu ya mkate wake kila siku yeye picha zake ziko ugaibuni .
Kwa ndugu wa muzee ya mafuta hata akiimba tu nikuringa tu .
Nakujitoa mapicha kama model.
Juzi kaimba hot sasa sijui mpaka sasa ni iko asilimia ngapi?
Hayupo serious na lolote .
Hela unazoo sawa ila unahitaji kitu kinacho zunguka ili ubaki na life style uliozoea.
Yeye ni kama Chadema nimemaliza