Nahisi gheto kwangu kuna nyoka koboko

Nahisi gheto kwangu kuna nyoka koboko

Wadau nimetoka zangu vatcan hapa narudi gheto usingiji auji ,
Na tangu jioni tanesco wamekata umeme,
Wakati najigeuza geuza kitandani kutafuta usingizi ndo nasikia kuna kitu kama kina gonga gonga huku kukiwa na sauti kama tairi inatoa upepo ,
Huyu anaweza kuwa koboko , naombeni ushauri nifanyeje?
Kalale kwa jirani alafu uko kwako mwanga mafuta ya taa
 
Usiwashe tochi. Kama uko ktk kitanda kina neti tulia. Ukiwasha tochi ya simu utatemewa mate ya simu kwenye uso. Aliingia chumbani kwangu site, nilikuwa nimewasha kandili mwnga kudogo nikasikia sauti ya kugongagonga maana nyumba full suti bati. Ile naongeza mwanga wa taa kuona ni nini akatema mate kwenye chemli. Nikamwona nilikuwa na mafuta ya taa nikamwaga upa nde alipokuwa.Asuuhi niikuta amekufa. Bonge ljoka jusi.NILIKUWA SIJUI KUNA NYOKA ENEO HILO
Black mamba hajawahi ku spit venom hata siku moja. Types za cobra kama Mozambique spitting cobra ndio wanarusha sumu hizo.

Kitu anachofanya fanya mamba ni kuinua kichwa juu na kutoa mlio fulani (hissing) bali hana uwezo wa kurusha venom.

Wewe utakuwa ulikutana na aina fulani ya cobra.
 
Usiwashe tochi. Kama uko ktk kitanda kina neti tulia. Ukiwasha tochi ya simu utatemewa mate ya simu kwenye uso. Aliingia chumbani kwangu site, nilikuwa nimewasha kandili mwnga kudogo nikasikia sauti ya kugongagonga maana nyumba full suti bati. Ile naongeza mwanga wa taa kuona ni nini akatema mate kwenye chemli. Nikamwona nilikuwa na mafuta ya taa nikamwaga upa nde alipokuwa.Asuuhi niikuta amekufa. Bonge ljoka jusi.NILIKUWA SIJUI KUNA NYOKA ENEO HILO
Siyo kila nyoka anarusha mate ya sumu.

Ni cobra ndiyo wenye sifa hiyo ya kurusha mate wengine wanategemea kukung'ata.
 
Black mamba hatakagi kwanza mazoea na raia Kama limelia pfuuuuu itakua Ni li puff adder Ilo au li house snake linatafuta mapanya na mijusi
Uwe unafanya usafi kwenye Ilo geto lako
 
Wadau nimetoka zangu vatcan hapa narudi gheto usingiji auji

Na tangu jioni TANESCO wamekata umeme

Wakati najigeuza geuza kitandani kutafuta usingizi ndo nasikia kuna kitu kama kina gonga gonga huku kukiwa na sauti kama tairi inatoa upepo

Huyu anaweza kuwa koboko , naombeni ushauri nifanyeje?
Obviously kama ukisemacho ni kweli basi huyo ni SWILA (COBRA) huwa anakawaida ya kugonga vitu pia hutoa sauti anapotembea kama hiyo.
 
Ndugu zangu nawaona tu kila mmoja anavyokuja hapa kujifanya expert wa nyoka.

Kila mmoja na aina yake.
 
Huwezi kujua kina cha maji ambayo haujayafikia,binafsi nimeua Swila(Cobra) zaidi ya 4.Unaua Leo and then after some days anakuja mwingine.
 
Black mamba hatakagi kwanza mazoea na raia Kama limelia pfuuuuu itakua Ni li puff adder Ilo au li house snake linatafuta mapanya na mijusi
Uwe unafanya usafi kwenye Ilo geto lako
Mkuu; Yaani ww kwa busara zako bado unaamini kwamba kuna kitu kama hicho kwenye geto la huyo jamaa? Shyeee! amou; Geto kuna nini cha kumfanya au kumtamanisha nyoka aingiemo? Kwanza zingatia kwamba jamaa ameshasema alitoka vatcan.
 
Wadau nimetoka zangu vatcan hapa narudi gheto usingiji auji

Na tangu jioni TANESCO wamekata umeme

Wakati najigeuza geuza kitandani kutafuta usingizi ndo nasikia kuna kitu kama kina gonga gonga huku kukiwa na sauti kama tairi inatoa upepo

Huyu anaweza kuwa koboko , naombeni ushauri nifanyeje?
Koboko saivi tungekuwa tunaimba tuonane milele, atakuwa mjusi tu
 
Wadau nimetoka zangu vatcan hapa narudi gheto usingiji auji

Na tangu jioni TANESCO wamekata umeme

Wakati najigeuza geuza kitandani kutafuta usingizi ndo nasikia kuna kitu kama kina gonga gonga huku kukiwa na sauti kama tairi inatoa upepo

Huyu anaweza kuwa koboko , naombeni ushauri nifanyeje?
Tulia, lala kwa raha zako. Hangover ikiisha na huyo koboko atakuwa keshaondoka.
Kvant haijawahi kumwacha mtu salama.🤣
 
Back
Top Bottom