Nahisi gheto kwangu kuna nyoka koboko

Nahisi gheto kwangu kuna nyoka koboko

Wadau nimetoka zangu vatcan hapa narudi gheto usingiji auji

Na tangu jioni TANESCO wamekata umeme

Wakati najigeuza geuza kitandani kutafuta usingizi ndo nasikia kuna kitu kama kina gonga gonga huku kukiwa na sauti kama tairi inatoa upepo

Huyu anaweza kuwa koboko , naombeni ushauri nifanyeje?
Kwa hiyo hapo sinza vatican wanapatikana koboko, au...........
 
Wadau nimetoka zangu vatcan hapa narudi gheto usingiji auji

Na tangu jioni TANESCO wamekata umeme

Wakati najigeuza geuza kitandani kutafuta usingizi ndo nasikia kuna kitu kama kina gonga gonga huku kukiwa na sauti kama tairi inatoa upepo

Huyu anaweza kuwa koboko , naombeni ushauri nifanyeje?
Choma mpira utakaotoa moshi mwingi au andaa mafuta ya taa na kuyasambaza chumbani au ita wataalam wa fumigation. Lakini check pia kama hisia zako zinafanya kazi vizuri?
 
Wadau nimetoka zangu vatcan hapa narudi gheto usingiji auji

Na tangu jioni TANESCO wamekata umeme

Wakati najigeuza geuza kitandani kutafuta usingizi ndo nasikia kuna kitu kama kina gonga gonga huku kukiwa na sauti kama tairi inatoa upepo

Huyu anaweza kuwa koboko , naombeni ushauri nifanyeje?

Choma mpira humo ndani na ufungue mlango ataondoka mwenyewe
 
Wadau nimetoka zangu vatcan hapa narudi gheto usingiji auji

Na tangu jioni TANESCO wamekata umeme

Wakati najigeuza geuza kitandani kutafuta usingizi ndo nasikia kuna kitu kama kina gonga gonga huku kukiwa na sauti kama tairi inatoa upepo

Huyu anaweza kuwa koboko , naombeni ushauri nifanyeje?
Uko vatcan ya wapi ambapo kuna Tanesco?
 
Wadau nimetoka zangu vatcan hapa narudi gheto usingiji auji

Na tangu jioni TANESCO wamekata umeme

Wakati najigeuza geuza kitandani kutafuta usingizi ndo nasikia kuna kitu kama kina gonga gonga huku kukiwa na sauti kama tairi inatoa upepo

Huyu anaweza kuwa koboko , naombeni ushauri nifanyeje?
Vacation halafu unaishi geto lenye mashimo
 
Wanaume wa huo mkoa mnatutia aibu sana kwakweli...🤨
 
Wadau nimetoka zangu vatcan hapa narudi gheto usingiji auji

Na tangu jioni TANESCO wamekata umeme

Wakati najigeuza geuza kitandani kutafuta usingizi ndo nasikia kuna kitu kama kina gonga gonga huku kukiwa na sauti kama tairi inatoa upepo

Huyu anaweza kuwa koboko , naombeni ushauri nifanyeje?
Pole unaishi Mkoa na wilaya Gani?
 
Black mamba hajawahi ku spit venom hata siku moja. Types za cobra kama Mozambique spitting cobra ndio wanarusha sumu hizo.

Kitu anachofanya fanya mamba ni kuinua kichwa juu na kutoa mlio fulani (hissing) bali hana uwezo wa kurusha venom.

Wewe utakuwa ulikutana na aina fulani ya cobra.
Jamaa atakuwa ameingiliwa na swila wale nyoka weusi wanaotema mate
 
Back
Top Bottom