Nahisi gheto kwangu kuna nyoka koboko

Nahisi gheto kwangu kuna nyoka koboko

Nyoka huyu ndo yupo ndani kwakoView attachment 2160315
20220303_202913.jpg
 
PIGA MRUZI AJE KITANDANI ILI UWE NA UHAKIKA KAMA NI YEYE KWELI.

KOBOKO! Hana nouma anapenda kuishi na watu, mpole huyo japo ana sumu Kali.
Koboko ni very aggressive,Mtata mno huyo jamaaa anatabia ya kupenda ku challenge viumbe wengine, kama Chui vile
 
Back
Top Bottom