Nahisi gheto kwangu kuna nyoka koboko

Kalale kwa jirani alafu uko kwako mwanga mafuta ya taa
 
Black mamba hajawahi ku spit venom hata siku moja. Types za cobra kama Mozambique spitting cobra ndio wanarusha sumu hizo.

Kitu anachofanya fanya mamba ni kuinua kichwa juu na kutoa mlio fulani (hissing) bali hana uwezo wa kurusha venom.

Wewe utakuwa ulikutana na aina fulani ya cobra.
 
Siyo kila nyoka anarusha mate ya sumu.

Ni cobra ndiyo wenye sifa hiyo ya kurusha mate wengine wanategemea kukung'ata.
 
Black mamba hatakagi kwanza mazoea na raia Kama limelia pfuuuuu itakua Ni li puff adder Ilo au li house snake linatafuta mapanya na mijusi
Uwe unafanya usafi kwenye Ilo geto lako
 
Obviously kama ukisemacho ni kweli basi huyo ni SWILA (COBRA) huwa anakawaida ya kugonga vitu pia hutoa sauti anapotembea kama hiyo.
 
Ndugu zangu nawaona tu kila mmoja anavyokuja hapa kujifanya expert wa nyoka.

Kila mmoja na aina yake.
 
Huwezi kujua kina cha maji ambayo haujayafikia,binafsi nimeua Swila(Cobra) zaidi ya 4.Unaua Leo and then after some days anakuja mwingine.
 
Black mamba hatakagi kwanza mazoea na raia Kama limelia pfuuuuu itakua Ni li puff adder Ilo au li house snake linatafuta mapanya na mijusi
Uwe unafanya usafi kwenye Ilo geto lako
Mkuu; Yaani ww kwa busara zako bado unaamini kwamba kuna kitu kama hicho kwenye geto la huyo jamaa? Shyeee! amou; Geto kuna nini cha kumfanya au kumtamanisha nyoka aingiemo? Kwanza zingatia kwamba jamaa ameshasema alitoka vatcan.
 
Koboko saivi tungekuwa tunaimba tuonane milele, atakuwa mjusi tu
 
Tulia, lala kwa raha zako. Hangover ikiisha na huyo koboko atakuwa keshaondoka.
Kvant haijawahi kumwacha mtu salama.🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…