Mtambuzi
Platinum Member
- Oct 29, 2008
- 8,809
- 15,443
Sijui usiku wa leo patapambazuka salama...........
Wakati mwingine sisi viumbe wa kiume tunapambana na mitihani, tena mitihani yenye mashaka makubwa......
Naomba msije mkanihukumu, lakini nauliza tu. Hivi kama mwanaume mwenye siha nzuri na damu inachemka unajikuta unawekwa katikati na viumbe hawa wa Kinyarwanda walioumbwa wakaumbika na waliojaaliwa mashallaah, Utawezaje kumshinda shetani mwenye ghilba na vishawishi.......
Nauliza tu jamani wala msinijengee chuki......