Nahisi hiki kikombe nitakinywa kabla jogoo hajawika...!!!!

Nahisi hiki kikombe nitakinywa kabla jogoo hajawika...!!!!

Wape salamu sana,
Na baada ya salamu,
Waambie na uzuru wao wooote huo
huku bongo hawatakiwi.
 
Mhhhhhhhhhhhhhhh!!! kweli huko ndugu yangu Mtambuzi hali tete kwa kweli!!!!jitahidi ukishindwa nakuomba sana usisahau zana, maana kwa hapo ukichomoka wewe kweli mwanaume wa shoka LoH!!!!
 
image.php


Sijui usiku wa leo patapambazuka salama...........

Wakati mwingine sisi viumbe wa kiume tunapambana na mitihani, tena mitihani yenye mashaka makubwa......
Naomba msije mkanihukumu, lakini nauliza tu. Hivi kama mwanaume mwenye siha nzuri na damu inachemka unajikuta unawekwa katikati na viumbe hawa wa Kinyarwanda walioumbwa wakaumbika na waliojaaliwa mashallaah, Utawezaje kumshinda shetani mwenye ghilba na vishawishi.......


Nauliza tu jamani wala msinijengee chuki......

Mi hicho kiatu tu jamani . . . mweeeh!!!
 
3698918.jpg


Duh Mtambuzi umenikumbusha mbali sana...!!!!

Urakoze cyane...
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom