Chocs huku akija Mzee mwenzangu King Mswati Arushaone hatosalimika aisee..!Warembooo
Mtambuzi vishinde vishawishi
Vitendea kazi hata huku si vipo Mzee Bishanga......Mkuu umekumbuka kusafiri na kitendea kazi? ..........usisahau kumsalimia mwandani wangu anaitwa Amelia.
Mkuu Arushaone, nakusalimu popote ulipo.......Wanaume tumeumbwa mateso, mateso! Kweli MUNGU ameumba viumbe vyake kwa ajili yetu ila duh! Ngoja nipite hivi na mke wangu mpenzi Lady doctor hayo mengine nawaachieni.
Wanaume tumeumbwa mateso, mateso! Kweli MUNGU ameumba viumbe vyake kwa ajili yetu ila duh! Ngoja nipite hivi na mke wangu mpenzi Lady doctor hayo mengine nawaachieni.
Chocs huku akija Mzee mwenzangu King Mswati Arushaone hatosalimika aisee..!
Waulize kina Filipo, LiverpoolFC, Preta, marejesho, Don Mangi, PakaJimmy, Mzee wa Rula, Cantalisia Mr Rocky au Mungi watakwambia......
Lady doctor, siyo mimi niliyempa hilo jina, we gombana na Mzee wa Rula ndio aliyempachika hilo jinam akimaanisha ana mwili mnene kama King Mswati, kwani wewe ulielewa vipi?halafu hilo jina la king mswati liishie hapo hapo.
Lady doctor, siyo mimi niliyempa hilo jina, we gombana na Mzee wa Rula ndio aliyempachika hilo jinam akimaanisha ana mwili mnene kama King Mswati, kwani wewe ulielewa vipi?
Copy to Madame B...........
Hahahaha......hao warembo ni kama waganda kuna dawa wanakula halafu wanamwaga mayi ni baaaara,jaribu kugonga kidogo ndeee uone gharika!Vitendea kazi hata huku si vipo Mzee Bishanga......
Nimedokezwa kwamba huku ukifanya mchezo na toto za watu hukawii kupigwa ya mkeka, tena na serikali na unakabidhiwa mrembo bila chenga na kusindikizwa hadi airport usije ukamtelekeza.......
ndio maana nakupenda mume wangu, naona unaviepuka vishawishi sasa
mmwwaaaaaa!!!!!
Ah wapi,mmeo macho yamemkodoka pima!
Mtambuzi ungefanya kimyakimya maana huku sasa hali zinakuwa tete,umbaaji huu sio mchezo kama una siha njema lazima mawazo yaingiliane.sijui madame b na x watanisaidia je?
Mambo ya ufukwe wa Lake Kivu...
Mzee mwenzangu ODM Asprin, usije KIGALI kaka.............!
Chocs huku akija Mzee mwenzangu King Mswati Arushaone hatosalimika aisee..!
Waulize kina Filipo, LiverpoolFC, Preta, marejesho, Don Mangi, PakaJimmy, Mzee wa Rula, Cantalisia Mr Rocky au Mungi watakwambia......