Kwani wewe wa jiji la dar wapi au wewe wa mufindi umevamia dar halafu unalalamaNimetembelea baadhi ya miji hapa Africa. Miji Hali ya hewa ni kawaida. Kuna kipindi kunakuwa na joto lakini sio wakati wote
Ila jiji la Dar es salaam linashangaza sana. Kwanini kuna joto la kutisha mwaka mzima. Miji mwingine Africa haiko hivyo. Hali ya hewa ni mchanganyiko Ila Dar ni joto mwaka mzima.
Nahisi jiji la Dar es salaam limekumbwa na laana
Sio laana ila jeographia yake imechangia hilo.Nimetembelea baadhi ya miji hapa Africa. Miji Hali ya hewa ni kawaida. Kuna kipindi kunakuwa na joto lakini sio wakati wote
Ila jiji la Dar es salaam linashangaza sana. Kwanini kuna joto la kutisha mwaka mzima. Miji mwingine Africa haiko hivyo. Hali ya hewa ni mchanganyiko Ila Dar ni joto mwaka mzima.
Nahisi jiji la Dar es salaam limekumbwa na laana
Aisee? Joto, Joto tu limekufanya uone hiyo ni Laana? Kwani joto hapo Dar Limefikia nyuzi joto (celcius)ngapi?Nimetembelea baadhi ya miji hapa Africa. Miji Hali ya hewa ni kawaida. Kuna kipindi kunakuwa na joto lakini sio wakati wote
Ila jiji la Dar es salaam linashangaza sana. Kwanini kuna joto la kutisha mwaka mzima. Miji mwingine Africa haiko hivyo. Hali ya hewa ni mchanganyiko Ila Dar ni joto mwaka mzima.
Nahisi jiji la Dar es salaam limekumbwa na laana
Man jitihada wajadaNimetembelea baadhi ya miji hapa Africa. Miji Hali ya hewa ni kawaida. Kuna kipindi kunakuwa na joto lakini sio wakati wote
Ila jiji la Dar es salaam linashangaza sana. Kwanini kuna joto la kutisha mwaka mzima. Miji mwingine Africa haiko hivyo. Hali ya hewa ni mchanganyiko Ila Dar ni joto mwaka mzima.
Nahisi jiji la Dar es salaam limekumbwa na laana
Usituletee ushamba wako mkuu, ebu rudi mikoani usije ukatujazia jijiNimetembelea baadhi ya miji hapa Africa. Miji Hali ya hewa ni kawaida. Kuna kipindi kunakuwa na joto lakini sio wakati wote
Ila jiji la Dar es salaam linashangaza sana. Kwanini kuna joto la kutisha mwaka mzima. Miji mwingine Africa haiko hivyo. Hali ya hewa ni mchanganyiko Ila Dar ni joto mwaka mzima.
Nahisi jiji la Dar es salaam limekumbwa na laana
Homeboy, nadhani ulitaka kuandika Jiji na sio jini au ndo ivoivo?Usituletee ushamba wako mkuu, ebu rudi mikoani usije ukatujazia jini