shabanmbarak
JF-Expert Member
- Aug 17, 2022
- 1,178
- 1,150
Alaf analeta ujuaji wa mjini na kuandika ajuiHomeboy, nadhani ulitaka kuandika Jiji na sio jini au ndo ivoivo?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Alaf analeta ujuaji wa mjini na kuandika ajuiHomeboy, nadhani ulitaka kuandika Jiji na sio jini au ndo ivoivo?
Khartoum ni jangwa huku dar sio jangwaMleta mada hajawai fika Khartoum. Kule ni motoni 😂😂😂
Wew nae ni mpumbavu tu...Khartoum ni jangwa huku dar sio jangwa
Kuna mda huwa najiuliza huko shuleni watanzania tunaenda kukua au kuelimika
Sehemu yeyeote ambayo hakuna jangwa na joto ni kali sababu kuwa ni kuwepo na humidity kuwa kubwa
Baki na ujinga wako
Miji ya india mpaka singapore ina joto sana japokua ina mvua nyingi sababu kubwa ni kuwa na kiwango kikubwa cha humidity
Sehemu yeyeote ambayo hakuna jangwa na joto ni kali sababu kuwa ni kuwepo na humidity kuwa kubwa
Acha kushupaza shingo.Khartoum ni jangwa huku dar sio jangwa
Kuna mda huwa najiuliza huko shuleni watanzania tunaenda kukua au kuelimika
Sehemu yeyeote ambayo hakuna jangwa na joto ni kali sababu kuwa ni kuwepo na humidity kuwa kubwa
Kasome tena geography unafananisha jangwani khartoum na dar es salaam pole sanaWew nae ni mpumbavu tu...
Em pitia kile tunazungumza alaf uje ufe comment yako.
Kwa kukusaidia tu comment yako sio kwa ajili ya sabab ya joto bali comparison between dar na Khartoum kiwango cha joto.
SIJUI HUWA MNASHIDA GANI WASWAHILI TOKA UMEIJUA HIO HUMIDITY IMEKUA SHIDA
Kasome tena somo la humidityAcha kushupaza shingo.
Mtoto mdogo huna adabu kwa wakubwa zako!
Labda ni kwasababu ya mpangilio mbovu wa jiji kulingana na majiji uliotembelea , kuna kitu katika Jeografia wanaita The Urban heat island effect nadhani inaweza kuwa sababu.. lakini kwa data za mwaka uliopita kulikuwa na mabadiliko makubwa ya hali ya hewa , Elewa pia tupo katika ukanda wa Ikweta.Nimetembelea baadhi ya miji hapa Africa. Miji Hali ya hewa ni kawaida. Kuna kipindi kunakuwa na joto lakini sio wakati wote
Ila jiji la Dar es salaam linashangaza sana. Kwanini kuna joto la kutisha mwaka mzima. Miji mwingine Africa haiko hivyo. Hali ya hewa ni mchanganyiko Ila Dar ni joto mwaka mzima.
Nahisi jiji la Dar es salaam limekumbwa na laana
SawaKasome tena somo la humidity
Tatizo lako shuleni ulikua unakariri badala ya kuelewa
Ukienda singapore, malysia na eneo zima la southeast asia kuna kijani, mvua nyingi na kuna joto kali na sio jangwani sababu kubwa ni eneo lile lina humidity kubwa sanaSawa
Labda ni mgeni dar, kuna miezi hadi maji ya kuoga tunachemshaNimetembelea baadhi ya miji hapa Africa. Miji Hali ya hewa ni kawaida. Kuna kipindi kunakuwa na joto lakini sio wakati wote
Ila jiji la Dar es salaam linashangaza sana. Kwanini kuna joto la kutisha mwaka mzima. Miji mwingine Africa haiko hivyo. Hali ya hewa ni mchanganyiko Ila Dar ni joto mwaka mzima.
Nahisi jiji la Dar es salaam limekumbwa na laana
Itaje hiyo miji ili tubaini ukweli wakoNimetembelea baadhi ya miji hapa Africa. Miji Hali ya hewa ni kawaida. Kuna kipindi kunakuwa na joto lakini sio wakati wote
Ila jiji la Dar es salaam linashangaza sana. Kwanini kuna joto la kutisha mwaka mzima. Miji mwingine Africa haiko hivyo. Hali ya hewa ni mchanganyiko Ila Dar ni joto mwaka mzima.
Nahisi jiji la Dar es salaam limekumbwa na laana
Kazi kweli kweliKasome tena geography unafananisha jangwani khartoum na dar es salaam pole sana
Laana ni suala la kiimani.Nimetembelea baadhi ya miji hapa Africa. Miji Hali ya hewa ni kawaida. Kuna kipindi kunakuwa na joto lakini sio wakati wote
Ila jiji la Dar es salaam linashangaza sana. Kwanini kuna joto la kutisha mwaka mzima. Miji mwingine Africa haiko hivyo. Hali ya hewa ni mchanganyiko Ila Dar ni joto mwaka mzima.
Nahisi jiji la Dar es salaam limekumbwa na laana
kata miti panda miti , je wana darisalamaa wanazingatia hili?Nimetembelea baadhi ya miji hapa Africa. Miji Hali ya hewa ni kawaida. Kuna kipindi kunakuwa na joto lakini sio wakati wote
Ila jiji la Dar es salaam linashangaza sana. Kwanini kuna joto la kutisha mwaka mzima. Miji mwingine Africa haiko hivyo. Hali ya hewa ni mchanganyiko Ila Dar ni joto mwaka mzima.
Nahisi jiji la Dar es salaam limekumbwa na laana
hahahaaa chemba zinazotoa kinyesi usisahau hii piaNikafikiri hata unazungumzia ile mitaro inayotoa harufu mbaya 24/7 kuanzia posta hadi gongo la mboto, na ikisafishwa ndo kama imepandishwa mashetani
Sent using Jamii Forums mobile app