Nahisi jiji la Dar es salaam limekumbwa na laana

Nimetembelea baadhi ya miji hapa Africa. Miji Hali ya hewa ni kawaida. Kuna kipindi kunakuwa na joto lakini sio wakati wote

Ila jiji la Dar es salaam linashangaza sana. Kwanini kuna joto la kutisha mwaka mzima. Miji mwingine Africa haiko hivyo. Hali ya hewa ni mchanganyiko Ila Dar ni joto mwaka mzima.

mwezi wa sita pako poa
 
Sasa

Ssa

Sasa niamey na khartoum na wao watasemaje
 
Back
Top Bottom