Nahisi kama nimefikia hatua ya Kukata Tamaa kiwango cha Mwisho. Naomba msaada wenu Ndugu zanguni

Status
Not open for further replies.
What other option does he have? Desperate times call for desperate measures.

Hakuna mtu anazaliwa ana uzoefu wa kitu fulani. Huwezi kuanza biashara hadi usubiri uwe na uzoefu nayo, uzoefu utaupata mbele kwa mbele.
Nyumba ni miongoni mwa asset muhimu kwa binadamu kuwa nayo hivyo inapaswa kulindwa kwa kila hali.

Hata ma bank huwa hawakopeshi mtu anaeanza biashara kwani mtu huyo bado ni mwanafunzi ni rahisi pesa yao kupotea .Mabank wanajazia kilichopungua kwenye biashara yako hawatoi mtaji.

Atafute chanzo kingine cha mtaji mfano auze gari lakini kwenye nyumba asijaribu ku bett.

Huwezi kuchezea kamali pesa ya mlo wa mchana ukiliwa jua utashinda njaa.
 
Mungu anaponya na kufufua.,shetani anaponya ila hawezi kufufua.
 
Pole kwa unayoyapitia mkuu , jua ni moja ya mitihani tu na mungu atakuvusha amini hivyo.

Na uzi wako umenifunza mambo matatu makubwa .

1.Ishi na watu vizuri.
2.Tufanye uwekezaji , na kutotegemea mshahara kwa 100%.
3.Bora ukosee kujenga kuliko kukosea kuoa.
 
Pole sna kak kaza moyo
 
Dah!

"Mmoja ameamua kabisa kutoongea nami hata napoomba kumsalimia. Hataki."

M
chungaji, Marehemu, Dr Myles Munroe alipata kusema, "Its Tough Being a Man", sasa ninaona.

Pole sana Mkuu, nikutie Moyo, ili nalo litapita. Usikate tamaa. Umenitoa chozi.
 
Asijaribu hii atajuta
Pole ndugu,,, mungu ana makusudi yake jaribu kutambua funzo analokupa leo ili rizki yako ikirudi uwe imara has a katika kuwekeza nguvu zako kwa Mungu.

Nimeona mlikuwa n ujenzi wa nyumba je kwanini msiiuze uanze biashara? Au ukopee mkopo hiyo nyumba?
 
Mungu akusaidie utoke katika jaribu hilo
 
Life life life life.

Acha kabisa.

I can feel you brother. Pole sana.
 
Daah aisee pole broo.......ngoja kwanza ntakoment badae mana nimeumia sana......
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…