Nahisi kama nimeingizwa chaka

Kama akuona siku zake katikati ya mwezi wa nane tarehe za kujifungua bado mkuu, apo inaweza kua kati ya tarehe 8 had tarehe 22 May kwahyo yupo sahihi labda huu mwezi ukipita ikiwa bado ndo uanze kupata wasiwasi, au pia waweza kwenda hosptl ufanye confrmation na utradound. Asante
 
Aisee, naona ndio kinachonitokea huku.
 
Je, baada ya kuambiwa ana mimba yako mliendelea kufanya mapenzi au hamkufanya tena?

Inawezekana mara ya kwanza alikuwa anakupima je uko tayari. Alivyoona uko tayari basi ndo akabeba mimba.
Mkuu nimekutana nae mara moja tu, toka huo mwezi wa saba hadi leo sijakutana nae kimwili tena.
 
Tulikutana 25/07 kwenye tarehe 30/08 ndo akaniambia ana ujauzito wangu.. na hapo katikati hajakutana na yeyote.
 
Kondomu hua hamuzioni??
 
Kwa comment hzo chache za wadau hapo juu znatosha kukupa pakuanzia

Yaan ni kwamba yote yanawezekana.

Swala ni wewe kuchukua hatua za kufuatilia kujua umri wa mimba ( maana n kweli Kuna wakati mimba ua inapitiliza na vipimo vitaonyesha)

Ikionyesha mimba haijafka miezi hyo mdai maelezo, yakiyumba piga chini tafuta ustaarabu mwingine, we sio wa Kwanza kubambikwa
 
Mm mwenyewe imenitokea yaaan mtoto hatufanan hata kidogo , nmemwambia binti huyu mtoto nitamsaidia matunzo akikua ampelekee baba yake
 
Mtoto wa mwenzio muone kama mtoto wakooooo oooo šŸŽµšŸ”ŠšŸŽ¶šŸŽ¼
 
Acha kujipa stress mkuu. It's possible, nomo time ni miezi 9, lakini kuna some cases mtu anajifungua kabla ya huo muda au baada.

Hujawahi sikia mtu amejifungua kabla ya miezi 9? Alaf tukirudi kwenye hii case yako, kama ungekuwa umesaidiwa (kwamba demu alikuwa na mimba kabla hujala nae) basi ilitakiwa ajifingue kabla ya miezi 9 unayohesabu wewe (kwa maana ya kwamba wewe ukiona mimba imetimiza let say miezi miwili tokea akwambie, ila yenyewe ingekuwa na let say miezi miwili na wiki kadhaa).

Sijui wanielewa mkuu? Ukisikiliza sana comments za wadau bila kuchuja , unaweza kujikuta unafanya maamuzi yasiyosahihi. Subiria mtoto azaliwe, then uje kutoa ushuhuda hapa. Umeshalea mimba tokea ikiea ndogo, now anakaribia kujifungua, angalia usije kuharibu mwishoni
 
CDM mliwatumia watoto wa watu kina mdee kuitukana serekali ya ccm kwa kipind lirefu Leo mnakuja kuwataka kuwafukuza Kam mbwa hpn huo ndio uhun
Mdee kanyaga twende
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…