BIN NUN
JF-Expert Member
- May 23, 2014
- 3,477
- 7,085
Umekutana nae tarehe ngapi ya huo mwezi?Mkuu nimekutana nae mara moja tu, toka huo mwezi wa saba hadi leo sijakutana nae kimwili tena.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umekutana nae tarehe ngapi ya huo mwezi?Mkuu nimekutana nae mara moja tu, toka huo mwezi wa saba hadi leo sijakutana nae kimwili tena.
Mkuu, yaani nashindwa niseme nini, acha niongee na docta mmoja hapa nione kama inawezekana kama mimba inaweza kufika miezi 10.Unasema hakukutana na mwingine toka ulivyomchakata, ulikua unaishi nae? Ulikua unaongozana nae kwenye mitoko yake binafsi? Ulikua nae 24/7? HUSIWAAMINI SANA WANAWAKE.
Ila kwakua alikwambia tarehe 30/08 inawezekana ikawa ni wako ila KUMBUKA wakati anakueleza mimba ilikua na mwezi mmoja tayari na ishapita miezi 10 sasa. Fanya kuonana na daktari wa wajawazito muulize inawezekana mimba kwenda zaidi ya miezi 10 na nn usababisha inatokea case kama hiyo?
Pia janja akizaliwa kuna namna yakufanya kujua kama Ni wako kiasili na kisayansi.
Kwasasa muhudumie na jifanye mnyonge maana ulishafanya faulo toka awali. Akijifungua ndio utajua ufanye nn ikiwa Ni pamoja na kumchunguza mtoto alezaliwa.Mkuu hapa nashindwa nimwambie kitu gani maana nahisi nitamchanganya kabsa. Acha nitulie ajifungue tutajua kitakachofata atarudisha gharama zangu mshezi huyu.
Nilikutana nae kimwili tarehe 25/07 na tarehe 30/08 akaniambia ana ujauzito wangu.Umekutana nae tarehe ngapi ya huo mwezi?
Kiasiri hii unafanyaje kutambuaUnasema hakukutana na mwingine toka ulivyomchakata, ulikua unaishi nae? Ulikua unaongozana nae kwenye mitoko yake binafsi? Ulikua nae 24/7? HUSIWAAMINI SANA WANAWAKE.
Ila kwakua alikwambia tarehe 30/08 inawezekana ikawa ni wako ila KUMBUKA wakati anakueleza mimba ilikua na mwezi mmoja tayari na ishapita miezi 10 sasa. Fanya kuonana na daktari wa wajawazito muulize inawezekana mimba kwenda zaidi ya miezi 10 na nn usababisha inatokea case kama hiyo?
Pia janja akizaliwa kuna namna yakufanya kujua kama Ni wako kiasili na kisayansi.
Basi ni poa kama huo ushahidi ukautumia siku akishajifungua ila tu hakikisha hesabu zako ziko sawa.Nina ushahidi wa sms wa siku tuliyokutana. Akinipelekea ustawi nitajitetea kwa ushahidi wangu wa sms.
Tupe mbinu ya kumchunguza mtoto mana tumechoka kupigwa na vitu vizito kichwaniKwasasa muhudumie na jifanye mnyonge maana ulishafanya faulo toka awali. Akijifungua ndio utajua ufanye nn ikiwa Ni pamoja na kumchunguza mtoto alezaliwa.
Nashukuru kaka ngoja nifanye hivyo nioneBasi ni poa kama huo ushahidi ukautumia siku akishajifungua ila tu hakikisha hesabu zako ziko sawa.
Kwa kifupi tu kutungwa mimba mpaka kujifungua ni wiki 37 sawa na siku 259 ambayo ndo sawa na miezi 9.
Sasa chukua calculator, kalamu na karatasi upige hesabu zako uone zimezidi/kupungua ngapi.
Hizo hesabu za vidole kuhesabu miezi mara nyingi huwa ni za uongo tu, hesabu siku/wiki sio miezi. A yu zea kijana?
Ahaa ok kuna kipindi kinaitwa past-termNilikutana nae kimwili tarehe 25/07 na tarehe 30/08 akaniambia ana ujauzito wangu.
37-42 weeks.Basi ni poa kama huo ushahidi ukautumia siku akishajifungua ila tu hakikisha hesabu zako ziko sawa.
Kwa kifupi tu kutungwa mimba mpaka kujifungua ni wiki 37 sawa na siku 259 ambayo ndo sawa na miezi 9.
Sasa chukua calculator, kalamu na karatasi upige hesabu zako uone zimezidi/kupungua ngapi.
Hizo hesabu za vidole kuhesabu miezi mara nyingi huwa ni za uongo tu, hesabu siku/wiki sio miezi. A yu zea kijana?
Sawa mkuu ahsanteAhaa ok kuna kipindi kinaitwa past-term
Ambapo ni pale mimba inapitiliza week 42 kwa sababu mbali mbali.
Kufupisha ni kuwa ni muda amabao macho yenu yanatakiwa yawe kwa afya ya mtoto.
Hebu nindeni hospital kwanza waelezeni then ultrasound itahusika utaambiwa.
Jitahidi nawe uwepo acha kupewa taarifa za mimba nawe haupo.
Mwisho relax wapo wanafikisha hadi miezi 12.case hizo zipo.
Chukua mkono wowote uwe wa Kulia au wa Kushoto wa Mtoto wako kisha kwa umakini kabisa huku ukiwa umetulia angalia pale katikati ya mkono ( kiganjani ) linganisha ile mistari iliyopo na ya kwako.Tupe mbinu ya kumchunguza mtoto mana tumechoka kupigwa na vitu vizito kichwani
Chukua mkono wowote uwe wa Kulia au wa Kushoto wa Mtoto wako kisha kwa umakini kabisa huku ukiwa umetulia angalia pale katikati ya mkono ( kiganjani ) linganisha ile mistari iliyopo na ya Mwanao.
Kisha ukimaliza linganisha tena mistari iliyopo katika vidole vyake na vya kwako. Mistari ikifanana ni wako hisipofanana si wako, HII NDO NJIA YA ASILI.
Mmh hii njia ni balaaaChukua mkono wowote uwe wa Kulia au wa Kushoto wa Mtoto wako kisha kwa umakini kabisa huku ukiwa umetulia angalia pale katikati ya mkono ( kiganjani ) linganisha ile mistari iliyopo na ya Mwanao.
Kisha ukimaliza linganisha tena mistari iliyopo katika vidole vyake na vya kwako. Mistari ikifanana ni wako hisipofanana si wako, HII NDO NJIA YA ASILI.
Hiyo ndo DNA test ya mababu zetu.Mm
Mmh hii njia ni balaaa
UmepigwaaaMkuu nimekutana nae mara moja tu, toka huo mwezi wa saba hadi leo sijakutana nae kimwili tena.
Kwa huyu nitakuwa nimeliwa, maana kashasahau kabsa kama tulikutana mwezi wa 7, yeye anadai ni wa 8. Acha nimkalie kimya. Nitulize maumivu kimya kimya.Hiyo ndo DNA test ya mababu zetu.
😭Umepigwaaa
Mkuu umepigwa, tar 25 had ishirin na tano au sita ni mzunguko kamili wa mwanamke sasa tu assume alikua siku yake ya hatari ambapo ni siku ya 15 ambapo ni tarehe iyo 25 mliokutana sasa ilibidi aanze kukuambia siku zake hazioni kuanzia tarehe 10 mwezi wa nane. Ukiongeza week hadi tarehe 17 apo ndo alitakiwa aconfirm ni mjamzito wa wiki moja,Nilikutana nae tarehe 25/07 na tarehe 30/08 ndo akaniambia anaujauzito wangu.
Inawezekana kabisa mkuu.Inawezekana ujauzito kupitiliza miezi 10?[emoji24]