Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu hii kuwa nae muda wote itanisaidia nini kama ujauzito sio wa kwangu? Roho inaniuma sana.Mkuu umepigwa, tar 25 had ishirin na tano au sita ni mzunguko kamili wa mwanamke sasa tu assume alikua siku yake ya hatari ambapo ni siku ya 15 ambapo ni tarehe iyo 25 mliokutana sasa ilibidi aanze kukuambia siku zake hazioni kuanzia tarehe 10 mwezi wa nane. Ukiongeza week hadi tarehe 17 apo ndo alitakiwa aconfirm ni mjamzito wa wiki moja,
Sasa we kakuambia tar 30? Week mbili mbele? Sasa hesabu zako anajifunguwa lini ongeza week2 nazo zikipita juwa umepigwa 100%
Na watot wa hivi hufanan na mama zao, uyo ukitaka kumkomesha akijifunguwa kuwa nae muda wote
Nishakata tamaa kabsa.Mkuu umepigwa, tar 25 had ishirin na tano au sita ni mzunguko kamili wa mwanamke sasa tu assume alikua siku yake ya hatari ambapo ni siku ya 15 ambapo ni tarehe iyo 25 mliokutana sasa ilibidi aanze kukuambia siku zake hazioni kuanzia tarehe 10 mwezi wa nane. Ukiongeza week hadi tarehe 17 apo ndo alitakiwa aconfirm ni mjamzito wa wiki moja,
Sasa we kakuambia tar 30? Week mbili mbele? Sasa hesabu zako anajifunguwa lini ongeza week2 nazo zikipita juwa umepigwa 100%
Na watot wa hivi hufanan na mama zao, uyo ukitaka kumkomesha akijifunguwa kuwa nae muda wote
Sawa, mkuu ila sitomuuliza chochote. Na sitaki kukutana nae kabsa.hata usipatwe na msongo wa mawazo, wewe subiri mtoto azaliwe, kama ni damu yako utajua tu ukweli.
Ushapigwaa wenzio tunakataa mimba mtoto ndo tunamkubali, wanawake hawa sio kabisaNishakata tamaa kabsa.
Dah sina namna.Ushapigwaa wenzio tunakataa mimba mtoto ndo tunamkubali, wanawake hawa sio kabisa
Sawa mkuu.We subiria mtoto azaliwe ndio utapata majibu kama ni wako au sio wako.
Swala la miezi kuzidi huwa inatokea wengine inapitiliza had 12
Hili ndo solution...!! Japo hata ultasound inaweza isiwe specifi sana ila at least huwa inatoa majibu yenye ukwelii.. Pia uja uzito kufikisha miezi 10 ni possible sometimes mtoto anazaliwa ashakomaa kabisaaa ana nywelee na kila kitu.Kwani ultrasound haioneshi umri wa ujauzito?
Huo Ni uoga tu wa kukataliwa,ingekuwa umeikuta hiyo mimba angeshajifungua.....Huoni Kama wewe Unakumbuka umeanza nae mwezi wa Saba yeye anajaribu kusema wa nane ili abalance kumbe kupitiliza Ni kawaida,akafanyiwe ultra sound ukute Anatakiwa kufanyiwa operation huyoSawa mkuu ahsante kwa hilo, bado sijamwambia kitu chochote, na kwa sasa anaukataa mwezi tuliokutana, anadai tulikutana mwezi wa 8. Na wakati tulikutana mwezi wa 7 kwenye tarehe 25.
Ni kweli ultrasound sometimes inaongopa.Hili ndo solution...!! Japo hata ultasound inaweza isiwe specifi sana ila at least huwa inatoa majibu yenye ukwelii.. Pia uja uzito kufikisha miezi 10 ni possible sometimes mtoto anazaliwa ashakomaa kabisaaa ana nywelee na kila kitu.
Mwanamke kugundua kuwa ana mimba ni wiki mbili tu, maana kutokea siku za joto mpk siku za damu huwa ni siku 14, kesi yako hii ina utata sana alikutana na mwingine baada yako akaona akuangushie mzigo,,,Nilikutana nae tarehe 25/07 na tarehe 30/08 ndo akaniambia anaujauzito wangu.
Kuna rafiki yangu alipata ujauzito kutokana na birth control kufeli. Akawa anajua ujauzito utakuwa una week 12. Kuja kufanya ultrasound kumbe kitu kipo week ya 20. Maana yake ultrasound inaweza kuwa solution kwa case ya mtoa mada.Hili ndo solution...!! Japo hata ultasound inaweza isiwe specifi sana ila at least huwa inatoa majibu yenye ukwelii.. Pia uja uzito kufikisha miezi 10 ni possible sometimes mtoto anazaliwa ashakomaa kabisaaa ana nywelee na kila kitu.
Ahsante, lakini vip kama alifanya na mwingine mwezi wa nane mwanzoni?Huo Ni uoga tu wa kukataliwa,ingekuwa umeikuta hiyo mimba angeshajifungua.....Huoni Kama wewe Unakumbuka umeanza nae mwezi wa Saba yeye anajaribu kusema wa nane ili abalance kumbe kupitiliza Ni kawaida,akafanyiwe ultra sound ukute Anatakiwa kufanyiwa operation huyo
Asante kwa masahihisho🤝37-42 weeks.
AsanteChukua mkono wowote uwe wa Kulia au wa Kushoto wa Mtoto wako kisha kwa umakini kabisa huku ukiwa umetulia angalia pale katikati ya mkono ( kiganjani ) linganisha ile mistari iliyopo na ya kwako.
Kisha ukimaliza linganisha tena mistari iliyopo katika vidole vyake na vya kwako. Mistari ikifanana ni wako hisipofanana si wako, HII NDO NJIA YA ASILI.
Nishakata tamaa kabsa.
Yuko sawa.Nilikutana nae kimwili tarehe 25/07 na tarehe 30/08 akaniambia ana ujauzito wangu.
Hatari sana kaka hawa viumbe bhanaKwa huyu nitakuwa nimeliwa, maana kashasahau kabsa kama tulikutana mwezi wa 7, yeye anadai ni wa 8. Acha nimkalie kimya. Nitulize maumivu kimya kimya.