Nahisi kama nimeingizwa chaka

Nahisi kama nimeingizwa chaka

hata usipatwe na msongo wa mawazo, wewe subiri mtoto azaliwe, kama ni damu yako utajua tu ukweli.
 
Mkuu umepigwa, tar 25 had ishirin na tano au sita ni mzunguko kamili wa mwanamke sasa tu assume alikua siku yake ya hatari ambapo ni siku ya 15 ambapo ni tarehe iyo 25 mliokutana sasa ilibidi aanze kukuambia siku zake hazioni kuanzia tarehe 10 mwezi wa nane. Ukiongeza week hadi tarehe 17 apo ndo alitakiwa aconfirm ni mjamzito wa wiki moja,

Sasa we kakuambia tar 30? Week mbili mbele? Sasa hesabu zako anajifunguwa lini ongeza week2 nazo zikipita juwa umepigwa 100%
Na watot wa hivi hufanan na mama zao, uyo ukitaka kumkomesha akijifunguwa kuwa nae muda wote
Mkuu hii kuwa nae muda wote itanisaidia nini kama ujauzito sio wa kwangu? Roho inaniuma sana.
 
Mkuu umepigwa, tar 25 had ishirin na tano au sita ni mzunguko kamili wa mwanamke sasa tu assume alikua siku yake ya hatari ambapo ni siku ya 15 ambapo ni tarehe iyo 25 mliokutana sasa ilibidi aanze kukuambia siku zake hazioni kuanzia tarehe 10 mwezi wa nane. Ukiongeza week hadi tarehe 17 apo ndo alitakiwa aconfirm ni mjamzito wa wiki moja,

Sasa we kakuambia tar 30? Week mbili mbele? Sasa hesabu zako anajifunguwa lini ongeza week2 nazo zikipita juwa umepigwa 100%
Na watot wa hivi hufanan na mama zao, uyo ukitaka kumkomesha akijifunguwa kuwa nae muda wote
Nishakata tamaa kabsa.
 
We subiria mtoto azaliwe ndio utapata majibu kama ni wako au sio wako.
Swala la miezi kuzidi huwa inatokea wengine inapitiliza had 12
 
Kwani ultrasound haioneshi umri wa ujauzito?
Hili ndo solution...!! Japo hata ultasound inaweza isiwe specifi sana ila at least huwa inatoa majibu yenye ukwelii.. Pia uja uzito kufikisha miezi 10 ni possible sometimes mtoto anazaliwa ashakomaa kabisaaa ana nywelee na kila kitu.
 
Sawa mkuu ahsante kwa hilo, bado sijamwambia kitu chochote, na kwa sasa anaukataa mwezi tuliokutana, anadai tulikutana mwezi wa 8. Na wakati tulikutana mwezi wa 7 kwenye tarehe 25.
Huo Ni uoga tu wa kukataliwa,ingekuwa umeikuta hiyo mimba angeshajifungua.....Huoni Kama wewe Unakumbuka umeanza nae mwezi wa Saba yeye anajaribu kusema wa nane ili abalance kumbe kupitiliza Ni kawaida,akafanyiwe ultra sound ukute Anatakiwa kufanyiwa operation huyo
 
Hili ndo solution...!! Japo hata ultasound inaweza isiwe specifi sana ila at least huwa inatoa majibu yenye ukwelii.. Pia uja uzito kufikisha miezi 10 ni possible sometimes mtoto anazaliwa ashakomaa kabisaaa ana nywelee na kila kitu.
Ni kweli ultrasound sometimes inaongopa.
 
Nilikutana nae tarehe 25/07 na tarehe 30/08 ndo akaniambia anaujauzito wangu.
Mwanamke kugundua kuwa ana mimba ni wiki mbili tu, maana kutokea siku za joto mpk siku za damu huwa ni siku 14, kesi yako hii ina utata sana alikutana na mwingine baada yako akaona akuangushie mzigo,,,

Kwa hesabu za haraka hiyo mimba ina wiki 42 ambayo ni miezi 10 na nusu
 
Hili ndo solution...!! Japo hata ultasound inaweza isiwe specifi sana ila at least huwa inatoa majibu yenye ukwelii.. Pia uja uzito kufikisha miezi 10 ni possible sometimes mtoto anazaliwa ashakomaa kabisaaa ana nywelee na kila kitu.
Kuna rafiki yangu alipata ujauzito kutokana na birth control kufeli. Akawa anajua ujauzito utakuwa una week 12. Kuja kufanya ultrasound kumbe kitu kipo week ya 20. Maana yake ultrasound inaweza kuwa solution kwa case ya mtoa mada.
 
Mwanamke hua anatakiwa anifungue week ya 36 hadi 40. Ila ukiona kafika week ya 42 hajajifungua ndio hua wanfanyiwa induced labor. Haya calculate hizo week 40 ni miezi mingapi halafu uache kulialia na knowledge yako ya form 3 hiyo
 
Huo Ni uoga tu wa kukataliwa,ingekuwa umeikuta hiyo mimba angeshajifungua.....Huoni Kama wewe Unakumbuka umeanza nae mwezi wa Saba yeye anajaribu kusema wa nane ili abalance kumbe kupitiliza Ni kawaida,akafanyiwe ultra sound ukute Anatakiwa kufanyiwa operation huyo
Ahsante, lakini vip kama alifanya na mwingine mwezi wa nane mwanzoni?
 
Chukua mkono wowote uwe wa Kulia au wa Kushoto wa Mtoto wako kisha kwa umakini kabisa huku ukiwa umetulia angalia pale katikati ya mkono ( kiganjani ) linganisha ile mistari iliyopo na ya kwako.
Kisha ukimaliza linganisha tena mistari iliyopo katika vidole vyake na vya kwako. Mistari ikifanana ni wako hisipofanana si wako, HII NDO NJIA YA ASILI.
Asante
 
Back
Top Bottom